Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Naombeni muda sahihi wakununa hisa za crdb na kupata gawio hapo hapo nataka nichukue walau hisa 100 kwa hiyo rate ya 700 per hisa najua baada ya 5yrs tunaweza pata hisa moja ni hata 1500 hivi
Nunua sasa, download app ya DSE playstore na appstore jisajili then anza kununua hisa
 
Mkuu,nikinunua leo hisa,taingia katika huo mgao wa may?
 
Hisa za CRDB unanunuaje?
Kwa simple move download play store or app store application inaitwa hisa kiganjani then jaza taarifa zako halisi ulizozijaza kwenye NIDA then Utapata CDS account yako baada ya hapo anza kuwekeza. Simple tu
 
Asante.nimedownload ila buy stock iko empty cjui shida ni mtandao.
 
Ili upate gawio 10m kwa mwaka inabidi uwe na hisa za thamani gani CRDB?
 
Ukifuata maneno ya binadamu utakata tamaa sana na hutofanikiwa kamwe. Nilinunua hisa moja kwa 660 leo bei ni 770 ongezeko la 110 na bado ziko hot balaa. Kweli uoga wako ndio umaskini wako
 
Ukifuata maneno ya binadamu utakata tamaa sana na hutofanikiwa kamwe. Nilinunua hisa moja kwa 660 leo bei ni 770 ongezeko la 110 na bado ziko hot balaa. Kweli uoga wako ndio umaskini wako
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…