Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Wewe mjinga sana unamuamini sana Shetanyahu na Trumpet endelea na ujinga wako dunia nzima inajua Iran alimtega America sa kisha mzunguka hana ujanja we endelea kutuletea kanga zako za Tela AvivHivi ukiwa Mfuga Midevu na Majini ni lazima uwe Muongo kupitiliza?
Hata hospital ,hawa waarabu koko wa south africaNa hawa vipi waarabu koko
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa Iran waliweka zuio lao sasa Marekani wameweka zuio juu ya zuio Iran hafanyi biashara yoyote sasa hivi!!!
Alikuwa amekataa mazungumzo sasa hivi kaenda mwenyewe huko Islamabad!!!
Mkubwa ni Mkubwa tu ukileta mchezo unaliwa kichwa!!!
View: https://vt.tiktok.com/ZS92HM6qy/
Mazungumzo ya nini tena wakati mlisema US imeshinda vita? Yaani ushinde vita alafu ulazimishe mazungumzo?? Mjadiliane nini na watu ambao mmeshasema wanatakiwa kupinduliwa? Kwahiyo US Ipo tayari kujadiliana na magaidi?Alikuwa amekataa mazungumzo sasa hivi kaenda mwenyewe huko Islamabad!!!
Mkubwa ni Mkubwa tu ukileta mchezo unaliwa kichwa!!!
Funga domo lako hujui chochote unaongozwa na Mihemko ya dini yako pendwa!!Baki na imani yako unayoamini na mimi nitabaki naya kwangu. Siwezi kukuelewesha kitu usichoamini.
Bora hawa Afrika kusini kuliko waarabu wanaotesa na kuua watu kwa sababu ya ujinga na upumbavu wao!!Hata hospital ,hawa waarabu koko wa south africa
View: https://x.com/cdrafrica/status/2046957462092144993?s=61
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa Iran waliweka zuio lao sasa Marekani wameweka zuio juu ya zuio Iran hafanyi biashara yoyote sasa hivi!!!
Alikuwa amekataa mazungumzo sasa hivi kaenda mwenyewe huko Islamabad!!!
Mkubwa ni Mkubwa tu ukileta mchezo unaliwa kichwa!!!
View: https://vt.tiktok.com/ZS92HM6qy/
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa Iran waliweka zuio lao sasa Marekani wameweka zuio juu ya zuio Iran hafanyi biashara yoyote sasa hivi!!!
Alikuwa amekataa mazungumzo sasa hivi kaenda mwenyewe huko Islamabad!!!
Mkubwa ni Mkubwa tu ukileta mchezo unaliwa kichwa!!!
View: https://vt.tiktok.com/ZS92HM6qy/
Funga domo lako hujui chochote unaongozwa na Mihemko ya dini yako pendwa!!
Ni ujinga kuamini Iran apigane na Amerika na Israel harafu ashinde vita hiyo!!
Lakini kwa sababu ya ujinga na upumbavu mnaoaminishwa kwenye Masjid Ubwabwa mtabaki mkiamini ujinga huo na ndiyo maana nimekuambia utuambie ukweli wako umeshindwa maana umemezeshwa uongo mtupu!!
Hakuna neno bora wao waache wamipige,Bora hawa Afrika kusini kuliko waarabu wanaotesa na kuua watu kwa sababu ya ujinga na upumbavu wao!!
Mkuu yanakutoka kichwani haya? Au unafikiri huo u super power Marekani alijipa mwenyewe?Kwanza Iran usimuite gaidi halafu hata hiyo Hormuz kwani iko US? Marekani anadanganya hivi kweli Iran niwa kukubali kirahisirahisi tu hivyo? Wasome vizuri Iran tena kwa umakini. Au Marekani kuna vita gani hata kwenye historia kwamba alipigana na akashinda?.
Tumia akili wewe endelea kuwaaminisha ujinga wako mtoto kama wewe ni hasara kwenye familia, nenda ujifunze historia ndo uje ulete kangamoko zako za US. Yaani unapoteza bando kwa majibu yasiyokuwa na akili ni kweli kosa mavazi Usikose akili.Funga domo lako hujui chochote unaongozwa na Mihemko ya dini yako pendwa!!
Ni ujinga kuamini Iran apigane na Amerika na Israel harafu ashinde vita hiyo!!
Lakini kwa sababu ya ujinga na upumbavu mnaoaminishwa kwenye Masjid Ubwabwa mtabaki mkiamini ujinga huo na ndiyo maana nimekuambia utuambie ukweli wako umeshindwa maana umemezeshwa uongo mtupu!!
Haya soma hapo: Jifunze tafsiri ya neno gaidi huenda ww na familia yako pia ni magaidi, meli za marekani zinasindikizwa ni makomandoo wa jeshi la Iran na zinapita eneo lolote watakalo, ukisikia US amefanya blocked sio katika maji yaliyo ndani ya maji ya Iran, ni International waters,Mkuu yanakutoka kichwani haya? Au unafikiri huo u super power Marekani alijipa mwenyewe?
Mkuu nashukuru kwa kumpa majibu ya maana maana kuna watu hawaelewi kitu kabisa. 🙏 🙏Jifunze tafsiri ya neno gaidi huenda ww na familia yako pia ni magaidi, meli za marekani zinasindikizwa ni makomandoo wa jeshi la Iran na zinapita eneo lolote watakalo, ukisikia US amefanya blocked sio katika maji yaliyo ndani ya maji ya Iran, ni International waters,
Iran huenda sasa ikawa ndio Taifa lenye nguvu zaidi kijeshi ulimwenguni, Iran hakuwahi kuomba vita isimame aliyeomba ni US na hata Iran walipokataa janjajanza yao kwenye masharti ya ceasefire US ndiye aliyejiongezea muda, anatafuta namna ya kutoka hajuw atoke vipi,
Na hata hayo mazungumzo waliyoitisha tena mara ya 2 Iran amejiweka mbali zaidi wanasubiri waguswe washushe mzigo mpya juu ya vichwa vyao., wali underestimate Iran sasa ni aibu kwa kama US tulivyotukiaminishwa.