Kwani US na mayahudi wamepoteza nini, US ilipoteza wanajeshi pia, makomando wao walirejeshwa US kwenye masanduku, US ilipoteza ndege vita zao ambazo walisema hazionekani kwenye rada yoyote kwenye mfumo wowote nafkiri uliona mabaki ya ndege kama F-35 hizi ni ndege zimeigarimu US mabilion ya dola na utashangaa imeangushwa na silaha ndogo sana drone ambayo inatengenezwa na watoto wa shule kule Iran, Abraham Linkolin meli linalobeba ndege za kivita je uliisikia tena? ilionekana inaburutwa na meli nyengine kwa matengenezo.
waambie wakutumie ticket ukakague Gaza ya Jerusalem
Walitoa proposal yao kwenye mazungumzo ya awali na ndio wanayoisimamia US wakitaka ni hiyo na hawataki ni hiyo na hawajawahi kubadilika nayo, jamaa zako ndio wanalazimisha mjadala na hata haya mazungumzo ya pili US wameenda peke yao, Iran wanataka wakubali masharti kama hawataki waingie uwanja kama wana ubavu
Angalia viti vya Iran ni vitupu wahuni wanajiamini, anzeni vita muone tena zahma
View attachment 3579032