Una upeo mdogo sana wewe unajua nguvu ya jeshi wewe.Haya soma hapo: Jifunze tafsiri ya neno gaidi huenda ww na familia yako pia ni magaidi, meli za marekani zinasindikizwa ni makomandoo wa jeshi la Iran na zinapita eneo lolote watakalo, ukisikia US amefanya blocked sio katika maji yaliyo ndani ya maji ya Iran, ni International waters,
Iran huenda sasa ikawa ndio Taifa lenye nguvu zaidi kijeshi ulimwenguni, Iran hakuwahi kuomba vita isimame aliyeomba ni US na hata Iran walipokataa janjajanza yao kwenye masharti ya ceasefire US ndiye aliyejiongezea muda, anatafuta namna ya kutoka hajuw atoke vipi,
Na hata hayo mazungumzo waliyoitisha tena mara ya 2 Iran amejiweka mbali zaidi wanasubiri waguswe washushe mzigo mpya juu ya vichwa vyao., wali underestimate Iran sasa ni aibu kwa kama US tulivyotukiaminis hwa.
Eti meli za Marekani zinasindikizwa na Makomandoo wa Iran!! Ama kweli kwenye Madrasa yenu mnadanganyana sana!!Jifunze tafsiri ya neno gaidi huenda ww na familia yako pia ni magaidi, meli za marekani zinasindikizwa ni makomandoo wa jeshi la Iran na zinapita eneo lolote watakalo, ukisikia US amefanya blocked sio katika maji yaliyo ndani ya maji ya Iran, ni International waters,
Iran imepoteza Viongozi wa kijeshi na kiraia, Jeshi la anga,Imepoteza Navy na imepoteza mifumo yake ya ulinzi wa anga harafu Bumunda kama wewe unakuja hapa kutuletea UHARO wako!! Nenda kawadanganye wajinga wenzako huko Masjid Ubwabwa!!Iran huenda sasa ikawa ndio Taifa lenye nguvu zaidi kijeshi ulimwenguni, Iran hakuwahi kuomba vita isimame aliyeomba ni US na hata Iran walipokataa janjajanza yao kwenye masharti ya ceasefire US ndiye aliyejiongezea muda, anatafuta namna ya kutoka hajuw atoke vipi,
Uwe unaelewa wewe Bumunda kwanza Iran alikuwa amekataa mazungumzo ulivyo mjinga hujiulizi kwa nini sasa wamekubali?Na hata hayo mazungumzo waliyoitisha tena mara ya 2 Iran amejiweka mbali zaidi wanasubiri waguswe washushe mzigo mpya juu ya vichwa vyao., wali underestimate Iran sasa ni aibu kwa kama US tulivyotukiaminishwa
Wamejipeleka mapema sana Wako islamabad,watatoa Uranium au hawatoi?Acha kupotosha meli nyingi tu za Iran zaidi ya 34 zimeshapita kwa mtindo wa "ghost ship" na baadhi kama 10 zimekuja kukamatiwa as far as Malaysia huko.
View attachment 3578967
Sasa Mfano hiyo meli ya Sevin na Deep sea inekamatiwa Malaysia baada ya kufikisha mzigo. Ilifikaje huko kama kuka total blockade? Hizo zingine 24 ambazo hazikudakwa zilipitaje? Na hizi zilizokamatwa na US ni official statement ya US Navy na mahali zilipodakiwa.
Kuhusu namna meli hizo ziliweza kuvuka blockade soma hapa
'Billion-Dollar Ghost Ships': What is Shadow Fleet and how Iran is earning millions from covert oil trade
While the Strait of Hormuz chokes under a military blockade, a secret pipeline of aging, uninsured tankers continues to move billions in Iranian oil to China. Discover the covert mechanics of the βShadow Fleet.βwww.wionews.com
Chanzo cha taarifa kuwa meli 34 ziliweza kuvuka blockade.
Iran's ships sneak past US blockade as Navy hunt goes global
The U.S. is attempting to enforce its blockade against Iran far from the Strait of Hormuz.www.newsweek.com
Kuwa na akili Acha mihemko ya kijinga na kipumbavu uliona wapi hiyo? Unaamini Propaganda za kijinga na wewe ni mjinga tu!!Ukiwa mshabiki sana, unakosa uwezo wa kutumia akili....
Hata Trump alipotangaza kuwa Iran imemuomba awe rais wao una amini,
Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kunifanya na mimi niwe kama Wafuga Midevu na majini kwa kumezeshwa ujinga kama wewe.Lakini pia; update nyingi unazoleta (clip) kutoka wanaojiita taifa kubwa ni propaganda. Kwa hivyo ukiona vi clip mitandaoni, usifikiri ndio uhalisia kwenye uwanja wa vita....
Jifunze kutumia muda kupata uhakika wa taarifa, jifunze kutumia maarifa kujua kipi ni sahihi na kipi ni propaganda.
Acha ujinga Iran anapigwa mpaka anachakaa!!Tumia akili wewe endelea kuwaaminisha ujinga wako mtoto kama wewe ni hasara kwenye familia, nenda ujifunze historia ndo uje ulete kangamoko zako za US. Yaani unapoteza bando kwa majibu yasiyokuwa na akili ni kweli kosa mavazi Usikose akili.
Amnyooshe nani wewe Mafi yamekujaa kichwani.Wewe endelea kujiliwaza tu Iran anawanyoosha mawaba zako wote vipi ile kauli Iran warushe hata jiwe Israel waone hahhaa mzee wa Uharo banaπ
Kwani US na mayahudi wamepoteza nini, US ilipoteza wanajeshi pia, makomando wao walirejeshwa US kwenye masanduku, US ilipoteza ndege vita zao ambazo walisema hazionekani kwenye rada yoyote kwenye mfumo wowote nafkiri uliona mabaki ya ndege kama F-35 hizi ni ndege zimeigarimu US mabilion ya dola na utashangaa imeangushwa na silaha ndogo sana drone ambayo inatengenezwa na watoto wa shule kule Iran, Abraham Linkolin meli linalobeba ndege za kivita je uliisikia tena? ilionekana inaburutwa na meli nyengine kwa matengenezo.Eti meli za Marekani zinasindikizwa na Makomandoo wa Iran!! Ama kweli kwenye Madrasa yenu mnadanganyana sana!!
Iran imepoteza Viongozi wa kijeshi na kiraia, Jeshi la anga,Imepoteza Navy na imepoteza mifumo yake ya ulinzi wa anga harafu Bumunda kama wewe unakuja hapa kutuletea UHARO wako!! Nenda kawadanganye wajinga wenzako huko Masjid Ubwabwa!!
Walitoa proposal yao kwenye mazungumzo ya awali na ndio wanayoisimamia US wakitaka ni hiyo na hawataki ni hiyo na hawajawahi kubadilika nayo, jamaa zako ndio wanalazimisha mjadala na hata haya mazungumzo ya pili US wameenda peke yao, Iran wanataka wakubali masharti kama hawataki waingie uwanja kama wana ubavuUwe unaelewa wewe Bumunda kwanza Iran alikuwa amekataa mazungumzo ulivyo mjinga hujiulizi kwa nini sasa wamekubali?
Nakufuatilia mkuu unavyoshusha nondo.Kwani US na mayahudi wamepoteza nini, US ilipoteza wanajeshi pia, makomando wao walirejeshwa US kwenye masanduku, US ilipoteza ndege vita zao ambazo walisema hazionekani kwenye rada yoyote kwenye mfumo wowote nafkiri uliona mabaki ya ndege kama F-35 hizi ni ndege zimeigarimu US mabilion ya dola na utashangaa imeangushwa na silaha ndogo sana drone ambayo inatengenezwa na watoto wa shule kule Iran, Abraham Linkolin meli linalobeba ndege za kivita je uliisikia tena? ilionekana inaburutwa na meli nyengine kwa matengenezo.
waambie wakutumie ticket ukakague Gaza ya Jerusalem
Walitoa proposal yao kwenye mazungumzo ya awali na ndio wanayoisimamia US wakitaka ni hiyo na hawataki ni hiyo na hawajawahi kubadilika nayo, jamaa zako ndio wanalazimisha mjadala na hata haya mazungumzo ya pili US wameenda peke yao, Iran wanataka wakubali masharti kama hawataki waingie uwanja kama wana ubavu
Angalia viti vya Iran ni vitupu wahuni wanajiamini, anzeni vita muone tena zahma
View attachment 3579032
Usipoangalia Marekani atakuoa wewe pamoja na wenzio msioamini ukweli.Acha ujinga Iran anapigwa mpaka anachakaa!!
π π π πAkili zako zimeishia kwenye kuolewa tu pumbaff kabisa!!
ww unaishi dunia ipi mpaka leo hujui US ndege zao zimeangushwa kama nzige? hujaona US wakiwasaka marubani wao huko maporini kuwaokoa? ivi ulivishuhudia hivi vita ukiwa wapi? kumbe ww ni inferior kiasi hicho? mpaka nikutumie mabaki ya ndege hapa?Una uhakika US walipoteza F-35? Tuwekee hapa udhibitisho tuone!!
Nimekuuliza ni wapi ndege-vita F-35 Iran waliiangusha?ww unaishi dunia ipi mpaka leo hujui US ndege zao zimeangushwa kama nzige? hujaona US wakiwasaka marubani wao huko maporini kuwaokoa? ivi ulivishuhudia hivi vita ukiwa wapi? kumbe ww ni inferior kiasi hicho? mpaka nikutumie mabaki ya ndege hapa?
Kama waarabu wenyewe kwa wenyewe wanauana kinyama huku wanabwabwaja Allah-Akbar unafikiri mtu mweusi watamfanyeje?Hakuna neno bora wao waache wamipige,
Msije huku arabuni ,nimekwisha kuomba fanya umuhimu kuwakataza wasije,
Hamtakawi popote jeuri,wajuaji ,wavivu,kazi matusi
Kwanin
Kwanza ni uranium ipi tena? Si Trump anasema amevilipua viwanda vyote vya nuclear na kwΓ mba kilichobaki ni vumbi tu!! Sasa vumbi leo limegeuka la thamani hadi mazungumzo??? Mbona mna contradictions?Wamejipeleka mapema sana Wako islamabad,watatoa Uranium au hawatoi?
Maji yapo shingoni
Nimekuuliza ni wapi ndege-vita F-35 Iran waliiangusha?
Ata huko kwenu si munauwana pia mnakatana viungo vya mwili mpaka vya watoto wachanga munapeleka kwa mganga eti mtapata utajiri, na sikuhizi mnaiba nyeti za wanaume sasa nyinyi mnabwabwaja nini?Kama waarabu wenyewe kwa wenyewe wanauana kinyama huku wanabwabwaja Allah-Akbar unafikiri mtu mweusi watamfanyeje?
Waarabu si watu kabisa ni wanyama kasoro mkia tu!!
View: https://x.com/i/status/2047811082102677899
πππππππ€ͺπππ’ππ πNimecheka Mzee wa Uharo kaja huu uzi wa kishoga
Juzi China alipiga mkwala hakuna wa kuzuia meli zangu zinapita kama kawaidaπ