Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

Nimecheka Mzee wa Uharo kaja huu uzi wa kishoga

Juzi China alipiga mkwala hakuna wa kuzuia meli zangu zinapita kama kawaida😂
China hachukui mafuta ya Iran kupitia Homuz
 
Baada ya US kutamalaki hapo Hormuz na Iran kudanganyika!...
Wameshachunguliwa tayari,Sasa muda wowote kinawaka tena hapo Iran,waambie ndugu zako warudi nyumbani

Watu wanaenda kupigwa kipigo cha Mbwa Koko mpk waikimbie serikali 😀

Stay tuned!..
 

Unahangaika mkuu hao jamaa wameteseka Miaka 8 na hii vita ya Sasa bado hata miezi 2 haijafika. Marekani ni blah blah tu subiri uone.
 
Unahangaika mkuu hao jamaa wameteseka Miaka 8 na hii vita ya Sasa bado hata miezi 2 haijafika. Marekani ni blah blah tu subiri uone.
Wapi wameteseka miaka 8?
 
Iran kanyooshwa sasa hivi yuko Islamabad kusaka Mazungumzo hana namna Mlango bahari wa Hormuz umefungwa na hawezi kupitisha chochote mbwa huyo!!
Mazungumzo nanani
Iran alitangaza wapo ziara yakikanda itayo wafikisha Russia nyie kaongeeni na khamenei huko kaburini
 

Ahsante mke wa Netanyahu kwa taarifa
 
Mkuu huwa unatoa hoja makini, Nakubali sana hoja zako Hongeraaaaa!!!!
 
Vita haimuumizi iran peke yake kwa sasa kila mtu anaonjaa joto ya jiwe!
Haina haja ya kushabikia watu baadhi kuvamia nchi nyengine ikiwa uvamizi huo unaumiza mpaka wasio husika
 
Vita haimuumizi iran peke yake kwa sasa kila mtu anaonjaa joto ya jiwe!
Haina haja ya kushabikia watu baadhi kuvamia nchi nyengine ikiwa uvamizi huo unaumiza mpaka wasio husika
Nchi ambayo inatishia kufuta nchi nyingine na ambayo inapambana kwa nguvu zote kumiliki silaha za Nuclear nchi hiyo ni ya kuogopa kama Ukoma.

Nchi ambayo iliua raia wake zaidi ya 42,000 hiyo nchi ni hatari sana ni ya kuogopa kama ukoma!!

Nchi ambayo inafadhiri magaidi ya Hamas, Hezbollah, Houth na Islamic jihadi ni ya kuogopa kama Ukoma.

Iran ni nchi inayostahili kupigwa mpaka ichakae haijalisha kipigo chake kitaumiza na wengine wasio husika.

Kuna msemo wa Kimatumbi unasema*Fahari wawili wakigombana ziumiazo ni Nyasi* hivyo usitarajie vita kupiganwa harafu asiumie yeyote hiyo Sahau kabisa kwenye maisha yako yote.

Hata kwako unapotengeneza nyumba lazima utavunja tofali ili kuweka sehemu inayofaa

Naunga mkono 💯 Magaidi wapigwe mpaka wachakae No matter what!!

Ni kweli kabisa wengi wanakisoa gharama ya vita, Lakini gharama ya kutokupigana vita ni niniI?

Iran sasa inashikilia tani 11 za urani—inatosha kwa hadi mabomu 100 ya nyuklia.

Kulingana na ripoti, sehemu kubwa ya akiba hii imewekwa tangu 2018, imeenea katika viwango vingi vya uboreshaji na imefichwa katika maeneo yenye ngome, na kufanya iwe vigumu kufuatilia na hata vigumu zaidi kuizuia.

Chini ya makubaliano ya 2015, Iran haikuwa na nyenzo za kutosha kwa hata bomu moja. Leo, mazungumzo hayahusu tena "ikiwa"—ni kuhusu ngapi.

Swali halisi si gharama ya hatua. Ni gharama ya kusubiri hadi uwe umechelewa sana haileti maana yoyote ile!!!
 
Kama waarabu wenyewe kwa wenyewe wanauana kinyama huku wanabwabwaja Allah-Akbar unafikiri mtu mweusi watamfanyeje?

Waarabu si watu kabisa ni wanyama kasoro mkia tu!!

View: https://x.com/i/status/2047811082102677899
Hata waafrica wenzenu hawamitaki sikiliza huyu,english if you can understand it
Look you have used zionist as example
Can you go to the zionist state as african,like we well come you to our countries and give you jobs,we cannot give you the highest paid jobs because your useless uneducated and lazy people compare to asian people.
You know why people dont like you
Your lazy people,dont under understand even simple english ,you pretend to be smart and you cannot even read and speak international language ENGLISH
You live in the past ,the mentality of failed socialist ideology.
Even your fellow african hate you ,runing away from your own countries causing problems other than behave better.
Sometimes we don't understand what went wrong to beautiful country Tanzania with high potential is behind of countries like Kenya educationally and economical.
Yes we are waarabu koko,but ahead of you,waarabu koko will invest anywhere with their money ,they will sale and buy,its called investment.
Go to zionist state if you can,


View: https://x.com/chekgeri/status/2047967347017703677/video/1?s=61
 
Yes we are waarabu koko ,
How can you educate this generation in this filthy unhealthy ,no surprise we see low uneducated warkers coming to our countries,you destroyed makerere highly educated generatios and replace with people like you ,have nothing in his or her mind other than insulting people, wake up the world is moving ahead of you
How can you insult others and you cannot provide simple hygiene toilets and bathrooms, have you visited and see what standard of living rooms and toilets is provided for those dada zako working as house maids in our country.
Yes we are waarabu koko

View: https://x.com/nipashetz/status/1912826963044991018?s=61
 
I am not sure you will understand read the map and listen
China will find alternatives

View: https://x.com/realpepeescobar/status/2048057530543444048?s=61
View: https://x.com/realpepeescobar/status/2048057530543444048?s=61
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…