Ukisikia Total-Blockade ndiyo hii sasa, Mlango bahari wa Hormuz hapiti yeyote bila idhini ya US!!!

Ukiona mtu anatumia matusi badala ya hoja... jua tu kichwani hamnazo, hivyo kwa busara ya kawaida siwezi kupoteza muda kulumbana na mtu wa aina hiyo....
 
Listen to Jeffrey Sachs
Jewish American professor
The american colonialist imperialist zionist fantasy is finished, iran doesn't afraid of them.

View: https://x.com/OopsGuess/status/2047970184758214742/video/1?s=61
The Muslims/Arabs media have been giving false information and comforting themselves to hide the defeat they are getting from the Israel Defence Forces. They are publishing false things that cannot help them in anything.

Next don’t copy everything from X you will be foolish like Hamas Terrorists
 
Ukiona mtu anatumia matusi badala ya hoja... jua tu kichwani hamnazo, hivyo kwa busara ya kawaida siwezi kupoteza muda kulumbana na mtu wa aina hiyo....
Peleka UHARO wako kwa wajinga wenzako!!
 
Kwani Nani anatishika na AI?
 
Hapo unaelezea unachotamani kiwe au kitokee lkn isivyo bahati hali haiko hivyo wala hiyo drone ya Baibui hata Iran wenyewe ndo wanaisikia kutoka kwako. Hata hizo ndege, Iran wenyewe wanakushangaa umeziona wapi kwenye Ardhi yao. Ishi kwa matumaini. Yanaweza kutokea baadaye. Usikate tamaa.
 
Hebu Katafute infomation za Mosquito Fleet drones mimi nili type baibui badala ya mbu
 
November mbona mbali sana,Iran hana mbinu tena,alikua anataka kuitumia Hormuz kama kigezo,sasa Hormuz hana nayo mamlaka tena

Kinachoendelea serikali ya Iran inaenda kushindwa kujiendesha,sasa wanashindwa hata kulipa mishahara kwa wanajeshi wao.

Na Trump kawaambia kama wakitaka mazungumzo wampigie simu kuomba mazungumzo ,yaani US ndio aamue kuhusu mazungumzo sio Iran tena

Walikua wanaringa,leo Iran wapo Rusia kuomba msaada waingilie kusaidia mazungumzo,wanatapatapa hawajui wafanyaje

Wanasuburiwa wadhoofike kabisa kiuchumi,wapigwe kipigo cha Mbwa Koko

November ni mbali saaaana
 
November mbona mbali sana,Iran hana mbinu tena,alikua anataka kuitumia Hormuz kama kigezo,sasa Hormuz hana nayo mamlaka tena
Hana mamlaka? Meli ngapi zimekwama mpaka sasa kuvuka?
Kinachoendelea serikali ya Iran inaenda kushindwa kujiendesha,sasa wanashindwa hata kulipa mishahara kwa wanajeshi wao.
Nani kakwambia serikali ya Iran inaendeshwa kwa mishahara? Kama ni hivyo Iran ingeshapotea maana wameishi kwa vikwazo kwa miaka 50 huku vipato vikiwa chini sana.
Walikua wanaringa,leo Iran wapo Rusia kuomba msaada waingilie kusaidia mazungumzo,wanatapatapa hawajui wafanyaje
Ni lini Iran waliomba mazungumzo? Unaweza kuweka ushahidi hapa?
Wanasuburiwa wadhoofike kabisa kiuchumi,wapigwe kipigo cha Mbwa Koko
Iran imeishi kwa vikwazo miaka 50 imewahi kuwa under siege kabisa miaka ya 50 then baadae 80 ila haikupinduliwa ndio sembuse sasa?
November ni mbali saaaana
Ni mbali ila Trump atakua hana nguvu na hataweza tena ishambulia Iran after November..kwahiyo whatever happens jua tu Iran itaendelea kuwepo na Trump atabaki historia tu kama Hitler au stalin
 
Nani amekudanganya idhini ya USA inatosha kuifanya meli yoyote ipite (hata bila idhini ya Iran)?
 
Nani amekudanganya idhini ya USA inatosha kuifanya meli yoyote ipite (hata bila idhini ya Iran)?
Hivi wewe hujui maana ya ** Total-Blockade**?

Marekani imefunga bandari zote za Iran ikiwemo Mlango bahari wa Hormuz!!

Iran hanachake na hafanyi biashara yoyote kumuingizia kipato. Alijifanya kufunga Marekani kafunga kabisa hakitoki kitu bila idhini ya marekani!!
 
Kuna kitu huelewi. Hakuna meli zinazoweza kupita the Strait of Hormuz kwa idhini ya USA pekee yake. Vinginevyo, oil/LNG tankers and commercial cargo ships from other gulf countries zingekuwa zinapita pale!
 
Kwa hiyo tukuamini wewe Mmatumbi mwenzangu au waziri mhusika aliyetangaza?
 
Acha kurukia uzi kwa juu juu soma post #1 utaelewa nini ninasema!!
Hivi wewe rhetorics za Trump na idiots wenzake ndio unazilalia mlango wazi. Those mazafakas can tell you anything!

Nimekuuliza, meli gani zimepita Hormuz kwa idhini ya USA, bila idhini ya Iran?
 
Watulie sasa kwa nini wanahangaika huku na huko mpaka kumuomba Urusi aingilie mazungumzo

Wao si wabishi wanakomaa watulie hivo hivo tu ,hakuna shida 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…