Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

Ukistaajabu ya Jenista Mhagama utayaona ya Ombeni Sefue NSSF

Nahisi NSSF imefilisika au ipo kwenye hali mbaya, hizi figisufigisu zinazoendela zinatutia wasiwasi wanachama.
 
Nahisi NSSF imefilisika au ipo kwenye hali mbaya, hizi figisufigisu zinazoendela zinatutia wasiwasi wanachama.

Ndiyo iwe sababu ya kuwateua waganda kuongoza mashirika ya umma?
 
Sio kukurupuka hii ni Serikali ya ,,Moto Chini,, mlizoea ile ya kubebwa na kubembelezwa hapa ,,KAZI TU,, Ukiteuliwa saa saba mchana baadae saa mbili Usiku ukaonekana wew ni JIPU,, tunatengua tu uteuzi,, kaeni kimya akili itawakaa sawa siku za mbele wakati Sukari imeshuka na kuwa kilo Tsh.500/=
ujue kuwa hawana akili na wanakurupuka kwa nn uteuliwe ikiwa haupo timamu? kwa nn hawachunguzi mtu kushika hayo madaraka makubwa bila kuwa na uhakika nae? hapo sio mahali pa majaribio mwisho wa siku watateua ma al shababu na is kujaribu jaribu ina maana hawajui na hawana uhakika walifanyalo kushuka kwa sukari sio inshu je kuna watu bado wanaimudu hiyo bei? hatufanani ndugu yangu ww unafurahia sukar mwenzio anawaza gari na nyumba.
 
Ndiyo iwe sababu ya kuwateua waganda kuongoza mashirika ya umma?


Mbona mishipa imekukakamaa sana.

CCM siye twasonga mbele kwa mbele. Anayeleta fyokofyoko tutamuonyesha cha moto.

Au wewe unatakaje? Kwa ni sheria za ajira zinasemaje?
Nahisi NSSF ilikuwa na tatizo ndo maana imetumbuliwa. Ilishageuzwa kuwa chaka fulani ndi maana waliokuwa wanasitiriwa humo baada ya chaka kuanza kufyekwa wanabweka hovyo hovyo. Mbaya zaidi meno hayapo tena.

CCM mbele kwa mbeleeee.....

Na bado machaka ni mengi sana yatafyekwa tu mdogo mdogo. Kuna sehemu kuna limsitu natamani lihamie hapo itakuwa raha sana

CCM NI ILE ILE EEE....
 
"THE BIG SHOW, Mkuu unaleta uchonganishi, majungu, udini na fit in a ktk suala na NSSF. Please heshimu watu wamejenga uadilifu wao miaka mingi. Kama unajua utawala na uongozi bac kubali Dr. Dau ndo keshakua Balozi. Acha wengine nao waoneshe uwezo wao. Nchi hii si Mali ya makundi ya mafisadi. Acha majipu yatumbuliwe.
 
Majina ya Bodi siyo suala la siri.

Nenda kwenye website ya Nssf utayakuta.

Na ukiyakuta usiishie hapo tuh...

Nenda kwenye mifuko mingine ya hifadhi ya jamii utayakuta..
wewe ndio umetuletea uzi tuletee na majina tujue tunaanzia wapi kwahiyo umeleta uzi nusu nusu
 
Kipi hasa kinachoendelea baina ya Ombeni Sefue na Shitindi ambacho umma wa watanzania unafichwa?

Shitindi ni nani??Kwa sasa hakuna kufuata sheria wala utaratibu,tunaenda kama Mazombie.Nasikia harufu za kesi kuwa nyingi na serikali kulipa mabilioni.Ngoja tuache maana nasikia tunayoikashfu serikali tunatafutwa.
 
0c7075ae5a20656a825b68e205383716.jpg


mi wacha nikatembee Congo kwanza..bongo usiku ni vituko show na ze comedy !
mchana episode za kinehe.
 
Kwa akili ya kawaida kabisa,intelligent people huwa wanazungumza facts kwa facts.

Kuongea pumba ni kujidhalilisha mwenyewe muongeaji.

So Unataka kusema kwamba hakuna sababu yeyote iliyomfanya Mh Rais kufanya mabadiliko Nssf Zaid ya kwamba Nssf imegeuzwa Sebuleni kwa Mtu?

Wengine wanadiriki kusema Utawala uliopita umewabeba watu fulan...implication hapo ni kwamba Rais aliepita ni muislam so aliwabeba waislam wenzake na huyu rais wa sasa ni mkristo so anaanza kuwasakama waislam type kama ya Dr Dau?

Ndicho unachoomanisha?

Km ni hivyo basi nchi imezid kufikia pabaya zaid...

Ombeni Sefue na Shitindi finds themselves as heroes...

But Geuss what... In a classical literature A Hero also dies...


Sisi yetu ni macho tuh.

I want remind you with something..

Dr Dau alieteuliwa kuwa DG pale Nssf na Rais Benjamin Mkapa.

Mkristo mwenzako...put this in your hatrage history as well.
Mtaongea sana ila majipu lazima yatumbuliwe. Yalilelewa sana na awamu iliyopita.

Watumbue Magu wetu gooooo....

NSSF lazima itumbuliwe ilishafanywa kama sebuleni kwa mtu. Mtaisoma namba na bado...
 
Kuna wakuu wanampiga Sefue kila siku mitandaoni ili atumbuliwe, bwana mkubwa atafanya hivyo hata kama hana ushahidi kuwafurahisha akina ngosha.Magufuli uwe makini sana kufanya maamuzi
 
Nahisi NSSF imefilisika au ipo kwenye hali mbaya, hizi figisufigisu zinazoendela zinatutia wasiwasi wanachama.
Uwe na wasiwasi tu maana hisia zako ni kweli hata ulipaji wa mishahara ni kwa kuunga unga shirika liko ICU.
 
So unfortunate that wote wanaolalamika kuhusu NSSF...majority kama sio wote wanaliangalia kwa muktadha wa kidini. Kwamba Dau alikuwa mwenzetu! Ndo maana hoja nyingi za NSSF zinakosa mashiko zinaangaliwa kama propaganda. Kwani ni NSSF pekee? mbona sijaona malalamiko kuhusu TRA, Bandari, Reli nk? What is so special about NSSF? Upo hata uwezekano kwamba wanaolalamika humu hawajawahi hata kuwa na michango yao NSSF?

Na kitu cha kujiuliza DG wa mashirika ya umma..wanakuwa wakurugenzi kwa mda gani? I mean mkataba ni mda gani? Otherwise tuwakumbushe viongozi wetu kuhakikisha kwamba nafasi za juu kama hizi..zinakuwa na ukomo...

Dr. Dau Has been DG wa NSSF for more than 10 years! For whatever's sake..jamani.....let the guy move on! Kuna maisha zaidi ya NSSF! Watanzania tujifunze kutambua kwamba kila kitu na wakati wake! Siamini kwamba mpaka sasa kuna watu wanaona kwamba Dr. Dau alistahili kuendelea pale! Hata President karudi Msoga! Ije kuwa mkurugenzi wa shirika??? Let Dr. Dau go!

Tubadilike! No one and I repeat NO ONE (shouting ;-).....is indispensable in life!
 
Back
Top Bottom