Ni sawaBiashara TZ ina siri zake kutegemeana na aina ya biashara. Sasa ww mtu mpya kimbilia maleseni ya taasisi zote za serikali badala ya kufanya biashara uone kama huo mtaji utabaki. Utailisha nchi ila familia yako itakufa njaa.
Tumia akili kama huna Tafuta mtu anayefanya biashara kama unayotaka kufanya umuazime akili zake za kukwepa mishale.
KUNA MSEMO"UKIONA TAASISI ZA SERIKALI ZINAKUANDAMA BASI USHAKUWA MKUBWA, KAA NAO NA UTII SHERIA BILA SHURUTI".
We Madelu The Sunk Cost Fallacy sera mlizoweka ndio zinachochea watu kukwepa kodi. Kumekuwa na utitiri wa kodi, urasimu, ubabe, kuto kuwajibika na mambo mengine mengi ambayo kwa pamoja mtu anaona bora afanye ujanja ujanja ili aweze kuihudumia familia yake.Soma hii ripoti kwanza [emoji116]
Bado malipo ya kumlipa editor firm kwenye kufile annuall returnHalafu makadirio yao una mtaji laki tano unakadiriwa milioni moja na mtu ambaye sio mfanyabiashara kakaa tu ofisini ametulia hajui hata biashara ni nini, mfano Taasisi moja ichukue hela mara mbili kwenye bidhaa ileile mfano bidhaa inaingia nchini TBS na TRA na wenzao bandarini wanavuta chao halafu haohao dukani wanataka walipwe tena yaani unakabwa hadi unakubali mziki mazingira hovyo sana Tanzania biashara nyingi zinakufa kila siku, bidhaa zinakua juu sababu ya ujinga wao
HatariWe Madelu The Sunk Cost Fallacy sera mlizoweka ndio zinachochea watu kukwepa kodi. Kumekuwa na utitiri wa kodi, urasimu, ubabe, kuto kuwajibika na mambo mengine mengi ambayo kwa pamoja mtu anaona bora afanye ujanja ujanja ili aweze kuihudumia familia yake.
Tambueni ya kuwa wafanya biashara wadogo na wa kati hawatafuti utajiri katika hizo biashara zao, bali wanafanya kila liwezekanalo ili huhakikisha wanahudumia familia zao basi.
Badala ya kuja na maneno yenye maudhi kama haya kwa Watanzania, ilikuwa ni busara sana kama mngetumia jukwaa hili kujifunza kero zinazo wapata Watanzania katika shughuli zao za kila siku na pia mngeweza kupata mawazo mazuri na chanya ya namna bora ya kukusanya mapato ambayo kila mtu atatoa bila kuona kama anaibiwa au kunyanyaswa.
Tatizo mmejiweka kuwa wafalme/watawala badala ya viongozi, mfalme sikuzote hajali wewe unakula vipi, unalala vipi au unapataje kuishi! anachohitaji yeye ni watu kulipa kodi na tozo ili yeye na familia yake waweze kula na kusaza. Kumbukeni yaliyotokea kwa mtoto wa mfalme Sulemani.
Lipa Kodi acha porojo,sera zimekuwepo hivyo miaka na miaka.We Madelu The Sunk Cost Fallacy sera mlizoweka ndio zinachochea watu kukwepa kodi. Kumekuwa na utitiri wa kodi, urasimu, ubabe, kuto kuwajibika na mambo mengine mengi ambayo kwa pamoja mtu anaona bora afanye ujanja ujanja ili aweze kuihudumia familia yake.
Tambueni ya kuwa wafanya biashara wadogo na wa kati hawatafuti utajiri katika hizo biashara zao, bali wanafanya kila liwezekanalo ili huhakikisha wanahudumia familia zao basi.
Badala ya kuja na maneno yenye maudhi kama haya kwa Watanzania, ilikuwa ni busara sana kama mngetumia jukwaa hili kujifunza kero zinazo wapata Watanzania katika shughuli zao za kila siku na pia mngeweza kupata mawazo mazuri na chanya ya namna bora ya kukusanya mapato ambayo kila mtu atatoa bila kuona kama anaibiwa au kunyanyaswa.
Tatizo mmejiweka kuwa wafalme/watawala badala ya viongozi, mfalme sikuzote hajali wewe unakula vipi, unalala vipi au unapataje kuishi! anachohitaji yeye ni watu kulipa kodi na tozo ili yeye na familia yake waweze kula na kusaza. Kumbukeni yaliyotokea kwa mtoto wa mfalme Sulemani.
Kama hadi biblia ina agano la kale na agano jipya! Hizo Sera ni nini hadi zisiboreshwe?Lipa Kodi acha porojo,sera zimekuwepo hivyo miaka na miaka.
Lipa kwanza Harafu tutafanya tathmini ya kuzibadilisha maana mchakato unaendelea sio jambo la kukurupuka.Kama hadi biblia ina agano la kale na agano jipya! Hizo Sera ni nini hadi zisiboreshwe?
Unazingua katika mambo siriazLipa kwanza Harafu tutafanya tathmini ya kuzibadilisha maana mchakato unaendelea sio jambo la kukurupuka.
Nazingua au siyo? πUnazingua katika mambo siriaz
Nazingua au siyo? π
MikopoNazingua au siyo? π
Hujui hata unachoongea au huna hata uelewa wa uchumi au umekurupuka.Mikopo
Wewe msomi nieleweshe mi nisiyejuaHujui hata unachoongea au huna hata uelewa wa uchumi au umekurupuka.
Hakuna tofauti na wale wezi wengineHakuna nachoshangaa najua ni wizi tuu..
Tofauti ipo dmkali hawa wanalindwa na sheria wale dhamana za mahakamani...yaani mtu anatoka huko kwenye kikao eti cha Tozo ya bando akiamka bank akiamka sijui viingereza vya Railway Levy hawataishia hapo hawa...Hakuna tofauti na wale wezi wengine
Ombaomba [emoji119][emoji119][emoji119]Hapo bado hujalipia taka, sungusungu, wafanyakazi, ombaoomba hujanywa maji, yaani we acha tu