Ukitaka habari za michezo zilizojaa uvumi na uchambuzi uliyoshiba basi sikiliza U-Live ya UFM saa 10 jioni

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.

Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
 
Azzam media ndo media Bora kwa Sasa africa mashariki na Kati.

Huu ndio ukweli fatilia hata taarifa ya Habari UTV very very neutral and independent!!

Then wanafua IPP media zingine ni kupotezeana muda tu.
 
Mpaka kero...

Mkuu kwa hiyo TBC ni kupotezea muda tu? Hawana habari tamu na nzuri? Huoni kuwa wewe si "mzarendo" kwa namna wanavyopambana kuleta habari za matumaini na kulambisha asali tamu tuliyoshiba wananchi
 
Back
Top Bottom