Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Mkuu kwa hiyo TBC ni kupotezea muda tu? Hawana habari tamu na nzuri? Huoni kuwa wewe si "mzarendo" kwa namna wanavyopambana kuleta habari za matumaini na kulambisha asali tamu tuliyoshiba wananchi