Hiyo sio dawa ya mbu tu! Ina mambo mengi sn! Ukitembea kwa wazee Wa kimila hayo majani mpk mizizi yake hutumika kwa mambo mengi! Ata kwa matatizo ya watoto Km kushituka etc. Watu hutumia kuwaogeshea!
Ndege zimepanda sn bei! Ata ujio Wa FastJet nao haujatusaidia kitu! Bora nijimilikishe kaungo kangu. Gamboshi mpk Dar ni kufumba na kufumbua macho!
Mkuu mbona mnakuwa wagumu kuelewa Wazee mwisho Chalinze!Mzee wng MziziMkavu aksante sn kwa somo zuri. Na km ungependa kupata mambo mengine ktk swala km hili la afya Na vitu asili tafuta kitabu kiitwacho Turejee Eden cha Ellen G White. Utapata mambo mengi humo mazuri sn!
Asante sn Mkuu!
haya majani yanapatikana wapi hapa nchini kwetu?
Mkuu mimi binafsi ni mara yangu ya kwanza kusikia kuhusu hili jani!Sina uhakika kama maeneo ya Tabora yanapatikana!
Huyo bibi yako inawezekana alikuwa pia utaalamu wa kutumia usafiri wa ungo!asee..basi bibi yangu mtaalamu sana asee..ilikuaga ikifika usiku anayaunguza yanatoa harufu mbaya lakini mbu hasogei
asee..basi bibi yangu mtaalamu sana asee..ilikuaga ikifika usiku anayaunguza yanatoa harufu mbaya lakini mbu hasogei
Mkuu tabora kubwa,yanapatikana wapi?tabora yapo..mengi tu
Huyu bibi yake angekua maeneo ya Shinyanga au Mwanza angeshakua amempoteza!Ha ha haaaaa!
Nenda kwa Bibi yako Mwambie akupe ndege! Bibi yako huenda akawa mtaalam!
Mkuu mbona mnakuwa wagumu kuelewa Wazee mwisho Chalinze!
Mkuu basi umemaliza kazi mlumba lumba naufahamu sana hata kwetu unyamwezini upo wa kutosha!Karibu sehemu yote ya Tz. Ishu inakuja baadhi ya maeneo huo mrehani Sizani km wanaufahamu km mrehani! Kwa mfano Kwetu Sisi Wasukuma tunauita mlumba lumba. Kwahiyo unaweza ukaja kwa jina la mrehani ktk jamii ya kisukuma Lkn wasikuelewe. Ila ukija na mlumba, Wengi watauelewa na watakupatia hayo majani Au huo mmea!
Labda tungemuomba Mkuu MziziMkavu atasuidie majina kwa uchache mengine yanayotumika kuuita mrehani kutokana na jamii mbalimbali!
Huyo bibi yako inawezekana alikuwa pia utaalamu wa kutumia usafiri wa ungo!
Ha ha haaaaa!
Nenda kwa Bibi yako Mwambie akupe ndege! Bibi yako huenda akawa mtaalam!
Mkuu tabora kubwa,yanapatikana wapi?
Uyui,
Urambo,
Sikonge,
Nzega,
Kaliua au
Igunga ?
Mkuu basi umemaliza kazi mlumba lumba naufahamu sana hata kwetu unyamwezini upo wa kutosha!
nadhani kiwango hicho hajafika..anavonipenda angeshanidokeza..lol
living healthy can sometimes kill u.
when u pay too much attention on what u eat, what u drink,household hygiene and all those bunch of healthy stuffs. u gona find out that u r no longer trusting anyone or anything. u will avoid contact coz of bacteria, u wont use hotel food coz u wont trust if it cooked well, u wont sleep in a hotel coz u dont trust their sheets, u wont eat apples coz u think they are genetically modified, u wont eat cereals scaring of getting fat, u wont watch tv it will destroy ur eyes, u wont go out and have fun with friends at night because u must be at bed on 2400, u wont have sex coz u will contant STI's, u wont go to swim in a pool there skin infections and people pee inside, just to say the list......How!justify your statement!