Teh teh teh!binti ufungua aliuawa kwa sababu ya mambo ya kishirikina!
Sasa hivi ng'ambo imetulia kwa sababu wachawi karibu wote walishakufa,kina mwana mbogo,wamalando,binti salum,na maalim kulwa!
Mkuu huyu biti mpera nilikuwa simfahamu,hivyi alikuwa anaishi kiloleni,Isevya,Mwanza Road au Ng'ambo?
Ndiyo maana nilisema,bibi yako aligundua mapema kuwa wewe huna sifa ya kurithi uchawi wake!umeona sezae?
mi mtumishi wa Mungu
Mkuu huyu biti mpera nilikuwa simfahamu,hivyi alikuwa anaishi kiloleni,Isevya,Mwanza Road au Ng'ambo?
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kwakweli mboka kulikuwa hakufai hata kidogo,tulikuwa tunaishi kwa hofu!Alikua anaishi pale karibu na uwanja Wa Mwinyi! Skonge road! Alikua ni mkubwa Wa waswezi!
Ila Mkuu mboka noma! Ata ivyo watu wanadai Huku Gamboshi Kwetu hakufai Lkn huko mboka na kwenyewe kitulizo! Na mitaa ya kule Tutuo miaka Hiyo ndio ilikua Balaa!
njema ndugu yangu!haya maisha huwa yananipoteza humu ndani kwa muda!Nipo mkuu,naendelea kupambana na maisha!
vipi habari za siku nyingi mkuu?
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kwakweli mboka kulikuwa hakufai hata kidogo,tulikuwa tunaishi kwa hofu!
Mkuu hivi nini tofauti kati ya waswezi na wabisa!
Safi sana,tumshukuru Mungu kwa kila jambo!njema ndugu yangu!haya maisha huwa yananipoteza humu ndani kwa muda!
Nitashukuru mkuu wangu!Mwanangu Hiyo tofauti siifahamu! Ila kuna jamaa yng mtu Wa huko nitamuuliza then ntakujulisha!
Safi sana mkuu,ulikuwa unakaa kitongoji gani?mimi binafsi nilikuwa karibu sana na Ali kipanya na mzee mtenanti!
Upo sahihi mkuu,Tukutuku lilikuwa kimbilio la watu kupata maji,nakumbuka kuna kipindi bwawa la igombe lilikuwa linakauka maji!
Teh teh teh!karibu na babu mangozi na mzee Benard!Nilikua Kazehill kule juu