Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Teh teh teh!binti ufungua aliuawa kwa sababu ya mambo ya kishirikina!
Sasa hivi ng'ambo imetulia kwa sababu wachawi karibu wote walishakufa,kina mwana mbogo,wamalando,binti salum,na maalim kulwa!

Ha ha ha haaaaaaa!

Vp Biti Mpera nae alikua kiwembe?

Mwanangu TUKUTUKU mboka ilikua kiboko!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyu biti mpera nilikuwa simfahamu,hivyi alikuwa anaishi kiloleni,Isevya,Mwanza Road au Ng'ambo?

Alikua anaishi pale karibu na uwanja Wa Mwinyi! Skonge road! Alikua ni mkubwa Wa waswezi!

Ila Mkuu mboka noma! Ata ivyo watu wanadai Huku Gamboshi Kwetu hakufai Lkn huko mboka na kwenyewe kitulizo! Na mitaa ya kule Tutuo miaka Hiyo ndio ilikua Balaa!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kwakweli mboka kulikuwa hakufai hata kidogo,tulikuwa tunaishi kwa hofu!
Mkuu hivi nini tofauti kati ya waswezi na wabisa!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kwakweli mboka kulikuwa hakufai hata kidogo,tulikuwa tunaishi kwa hofu!
Mkuu hivi nini tofauti kati ya waswezi na wabisa!

Mwanangu Hiyo tofauti siifahamu! Ila kuna jamaa yng mtu Wa huko nitamuuliza then ntakujulisha!
 
Upo sahihi mkuu,Tukutuku lilikuwa kimbilio la watu kupata maji,nakumbuka kuna kipindi bwawa la igombe lilikuwa linakauka maji!

Mkuu nimekukumbusha mbali sn!

Vp Ulishawahi kwenda kuangua Maembe kule Mawiti Au Malolo? Ulishawahi kucheza ile michezo ya kwenye miti iitwayo kampelembe?

Aaaaaah Mkuu, Tbr noma!
 
Back
Top Bottom