Ukitaka kila siku usiumwe fanya hivi katika miasha yako ya kila siku

Mkuu nimekukumbusha mbali sn!

Vp Ulishawahi kwenda kuangua Maembe kule Mawiti Au Malolo? Ulishawahi kucheza ile michezo ya kwenye miti iitwayo kampelembe?

Aaaaaah Mkuu, Tbr noma!
Nifika kote huko mkuu,pia nilishawahi kuangua mahembe kule kwihara,usenge,mawiti,tumbi na hata Isukamahera karibu na Kipalapala!
 
Nyumbani kwangu ---- mengi, sijui nikuleteeje mkuu?

Mzizi mkavu, je hayo majani ya mrehani nikiyachemsha then nikanywa sitajitibu? Manake kutafuna mmh!

Asante mkuu Sasa hilo jani la mrehani linapatikana sehemu gani
 
Last edited by a moderator:
Nifika kote huko mkuu,pia nilishawahi kuangua mahembe kule kwihara,usenge,mawiti,tumbi na hata Isukamahera karibu na Kipalapala!


Mwanangu ivyo vitongoji ulivyo vitaja, umenikumbusha mbali sn! Things will never be the same again dude!

Hiyo kwihala unatakiwa kuitamka kwa rafuzi ya kinyamwezi kidogo! Unavuta kidogo! Kwi-hala!!!
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana,kwakweli mboka kulikuwa hakufai hata kidogo,tulikuwa tunaishi kwa hofu!
Mkuu hivi nini tofauti kati ya waswezi na wabisa!



Mkuu nimeambiwa maswezi ni mizimu ya wanyamwezi na mabisa ni mizimu ya kutoka kigoma huko umanyemani!
 
Mkuu uliwahi kwenda kuogelea kwenye mabwawa! Kwibuma mmalambo! Kule mitaa ya Tukutuku kulikua na mabwawa mengi sn!
Mkuu umesahau palikuwa panaitwa kwa Boga na mabwawa mengine yalikuwa yanapatikana maeneo ya kizigo(Machimbo) karibu na Itetemia!we acha tu mkuu,wewe ni wakwetu kabisa!
 
Mkuu umesahau palikuwa panaitwa kwa Boga na mabwawa mengine yalikuwa yanapatikana maeneo ya kizigo(Machimbo) karibu na Itetemia!we acha tu mkuu,wewe ni wakwetu kabisa!



Ha haaaaa! Mkuu nimeamua kukumbusha mbali Leo!

Vp kwenda kwenye mapera kule cheo "B" na masubi? Na kwenye Zambarau Tabora Boys kule chini?

Mwanangu Mimi nimezaliwa Kitete pale hospital na kusoma shule ya msingi Kitete pale boma la zamani! Ila kwa asili Mimi ni Msukuma Wa Bariadi! Wazazi wangu waliamia Mboka miaka ya 70. Ila saizi wamerudi nyumbani Bariadi!
 
Mrehani kwa jina jingine unaitwaje?
Mti wa Mrehani kwa jina lingine unaitwa kwa kiingereza Holy Basil au jina lingine kwa kiingereza inaitwa Tulsi. Mti huu unapatikana sehemu nyingi tu hapo nyumbani Tanzania haswa miji ya Pwani Dares-Salaam ,Pwani,Tanga,Mtwara,Lindi,Zanzibar, Pemba na Bagamoyo uliza utapata.

 

Attachments

  • holy-basil Mrehani.jpg
    273.5 KB · Views: 202
  • holy-basil-health-benefits-511544_650x488.png
    145.1 KB · Views: 294
  • holy-basil.jpg
    561.7 KB · Views: 246
Nyumbani kwangu ---- mengi, sijui nikuleteeje mkuu?

Mzizi mkavu, je hayo majani ya mrehani nikiyachemsha then nikanywa sitajitibu? Manake kutafuna mmh!
Kwani kutafuna unashindwa kwanini? wakati majani ni dawa? unaweza kuchemsha ila kama utakula kama kachumbari japo jani moja kwa siku sio mbaya.Angalia picha majni yamekaushwa yamekuwa makavu kwa ajili ya dawa.


 

Attachments

  • Mrehani.jpg
    6.4 KB · Views: 748
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…