TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Nifika kote huko mkuu,pia nilishawahi kuangua mahembe kule kwihara,usenge,mawiti,tumbi na hata Isukamahera karibu na Kipalapala!Mkuu nimekukumbusha mbali sn!
Vp Ulishawahi kwenda kuangua Maembe kule Mawiti Au Malolo? Ulishawahi kucheza ile michezo ya kwenye miti iitwayo kampelembe?
Aaaaaah Mkuu, Tbr noma!