Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

Niliwahi kuleta mada hii hapa unaweza kuipitia.

Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili
 
Mimi ni mchagga kweli ila msijumuishe sema baadhi ya wachagga ndio wanatabia hizo ila ki ukweli hili ni Tatizo kubwa sana na Hata Viongozi wa Dini wanajua sema baadh ya viongozi kujifanya wajuaji na kutokuweka wazi ili ufumbuzi upatikane tatizo Arusha yaani kumeharibika sana halafu kwenye maswala ya msingi kama haya watu wanaleta siasa
 
Licha ya ukweli kwamba ushoga umeenea sana hapa nchini, Kanda ya Kaskazini inahitaji uangalizi wa karibu sana.
Yaani inasikitikisha sana,hata hapa Dar ninaowafahamu kabisa kwa michezo hii ni watu kutoka kanda hiyo.

Kuna mmoja alikuwa Agent mkubwa wa vifaa vya ujenzi...(sasa hivi marehemu) huyu alifikia hatua ya kuwapa pesa vijana ili wamshughulikie,tena bila aibu.

Kuna mwingine ni mmiliki wa bar kubwa..

Wapo wengi nawafahamu kutokea huko Kaskazini.
 
Hii kitu huko ilianza siku nyingi kidogo kidogo na akinamama ndiyo wanaidekeza
 
Huku Dar Bodaboda ndio waharibifu wa watoto wa Kike wanaosoma wakati huko Knjaro wao ndio wanaharibiwa

Mababu wa huko wa kuanzia 2050 watakuwa hatare sana
Kwamba Bodaboda wa Kilimanjaro wanaharibiwa marinda?,Au sijasikia vizuri?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…