Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Huo utafiti umeufanya kwa njia gani kupata hizi data??Huwezi amini unaambiwa kati ya boda boda watano wanne wanapelekewa moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utafiti umeufanya kwa njia gani kupata hizi data??Huwezi amini unaambiwa kati ya boda boda watano wanne wanapelekewa moto
KumbeMwanaume anaepasuliwa speaker
Niliwahi kuleta mada hii hapa unaweza kuipitia.Mh Rais akiwa anazungumza nna viongozi wa WANAFUNZI kutoka zenji na Bara Jana aliwataka waache kuiga uzungu.
Rais anawataka WANAFUNZI kuzingatia Mira na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakkwenda kombo.
Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli Hali ni mbaya hasa mikoano wimbi la kulawitiwa limekuja juu sanaaa ukifika Kilimanjaro hasa wilaya ya Moshi vijijini huwezi amini ila ukweli ni kuwa watoto wadogo wanalawitiwa kama karanga za kukaanga,nje ya watoto unaambiwa pahala kama Marangu mtoni Sasa imekuwa fasheni bodaboda hasie pandwa haoni kama kakamilika.
Huwezi amini unaambiwa kati ya boda boda watano wanne wanapelekewa moto,watoto wa kichaga na weupe wao Sasa wanapigwa "pumbu" ni hatari.
Sababu kubwa ni kutaka maisha mazuri,wengi wanalelewa ovyo sana na mama zao Kwa kuwapa Kila kitu inapotokea mama zao wamefariki basi vijana wanaingia kwenye wingu Nene ikiwemo kutafuna MIRUNGI,mwishowe wanakosa hata chapaa ya kununua mirungi wanaona Bora wapandwe.
Jamii inakwenda wapi?tutafakari pamoja jumapili njema.
Yaani inasikitikisha sana,hata hapa Dar ninaowafahamu kabisa kwa michezo hii ni watu kutoka kanda hiyo.Licha ya ukweli kwamba ushoga umeenea sana hapa nchini, Kanda ya Kaskazini inahitaji uangalizi wa karibu sana.
Tanga na Zanzibar.Isijekuwa Sababu ni idadi kubwa ya watalii wa kizungu kufika Arusha na Moshi
Wa moshi vijijiniHivi msenge ni nani? Maana nishawahi kula ban kisa hili neno
Jamaa ni ME soma vizuriKwan yule SI ni mwanamke au mm nilisoma vibaya Ile story? Alafu pia huyo lecturer alishamtafuna
Hii kitu huko ilianza siku nyingi kidogo kidogo na akinamama ndiyo wanaidekezaMh Rais akiwa anazungumza nna viongozi wa WANAFUNZI kutoka zenji na Bara Jana aliwataka waache kuiga uzungu.
Rais anawataka WANAFUNZI kuzingatia Mira na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakkwenda kombo.
Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli Hali ni mbaya hasa mikoano wimbi la kulawitiwa limekuja juu sanaaa ukifika Kilimanjaro hasa wilaya ya Moshi vijijini huwezi amini ila ukweli ni kuwa watoto wadogo wanalawitiwa kama karanga za kukaanga,nje ya watoto unaambiwa pahala kama Marangu mtoni Sasa imekuwa fasheni bodaboda hasie pandwa haoni kama kakamilika.
Huwezi amini unaambiwa kati ya boda boda watano wanne wanapelekewa moto,watoto wa kichaga na weupe wao Sasa wanapigwa "pumbu" ni hatari.
Sababu kubwa ni kutaka maisha mazuri,wengi wanalelewa ovyo sana na mama zao Kwa kuwapa Kila kitu inapotokea mama zao wamefariki basi vijana wanaingia kwenye wingu Nene ikiwemo kutafuna MIRUNGI,mwishowe wanakosa hata chapaa ya kununua mirungi wanaona Bora wapandwe.
Jamii inakwenda wapi?tutafakari pamoja jumapili njema.
Kwamba Bodaboda wa Kilimanjaro wanaharibiwa marinda?,Au sijasikia vizuri?.Huku Dar Bodaboda ndio waharibifu wa watoto wa Kike wanaosoma wakati huko Knjaro wao ndio wanaharibiwa
Mababu wa huko wa kuanzia 2050 watakuwa hatare sana