Mh Rais akiwa anazungumza nna viongozi wa WANAFUNZI kutoka zenji na Bara Jana aliwataka waache kuiga uzungu.
Rais anawataka WANAFUNZI kuzingatia Mira na desturi zetu kinyume chake kizazi chetu kitakkwenda kombo.
Kuna pahala waweza usielewe kauli hii, ila kiukweli Hali ni mbaya hasa mikoano wimbi la kulawitiwa limekuja juu sanaaa ukifika Kilimanjaro hasa wilaya ya Moshi vijijini huwezi amini ila ukweli ni kuwa watoto wadogo wanalawitiwa kama karanga za kukaanga,nje ya watoto unaambiwa pahala kama Marangu mtoni Sasa imekuwa fasheni bodaboda hasie pandwa haoni kama kakamilika.
Huwezi amini unaambiwa kati ya boda boda watano wanne wanapelekewa moto,watoto wa kichaga na weupe wao Sasa wanapigwa "pumbu" ni hatari.
Sababu kubwa ni kutaka maisha mazuri,wengi wanalelewa ovyo sana na mama zao Kwa kuwapa Kila kitu inapotokea mama zao wamefariki basi vijana wanaingia kwenye wingu Nene ikiwemo kutafuna MIRUNGI,mwishowe wanakosa hata chapaa ya kununua mirungi wanaona Bora wapandwe.
Jamii inakwenda wapi?tutafakari pamoja jumapili njema.