Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.
Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.
Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe watu wakachome tu vitu hovyo.
Kitu kinachonishangaza mimi Mafia boss with high IQ kuwa mipango na mikakati siriazi ya kumtoa kiongozi madarakani na kufanya matukio makubwa mnawezaje kuweka hadharani live na mkipanga kila kitu kama mko chumbani ? wakati huo huo mkijua mpinzani wenu ana kika nyezo anasikiliza na sio bwege ?
Ndio maana si ajabu mipango yao mingi imeanza kufeli vibaya maana wakipanga ratiba ya maandamano ya utangulizi kuanzia Tarehe 19 kabla ya D25 yote yameanguka vibaya.
Tatizo lingine hawataki kukubaliana na ukweli kuwa sasa watu wamezinduka sio kwamba wanaopenda CCM la wameona cha moto kutoka front na hasara zake . Jana Kuna clip mdada analia ameshindwa kwenda chuo kumalizia kisa Kaka yake tegemezi yupo ndani kwa kesi ya uhaini halafu wanaharakati hakuna aliyemsaidia huyo Dada kulipa ada kuendelea na masomo.
Kingine hawasomi alama za nyakati wala kufanya tathimini yakinifu kuwa kwa nini tulishindwa , tulikwama wapi na tuboreshe wapi ? bali wao oya oya twende tu . Ndio walisema #D9 ni uzinduzi maandamano yataendelea kuanzia siku hiyo bila kikomo na ilivyofeli D9 wakasema kesho yake mambo yakabuma wakaona bila kikomo ifutwe itangazwe rasmi #D25
Ni mengi ya kuandika ila ukiitaka kujua zaidi kuwa bado Kuna vijana wengi Wenye low IQ nenda kasikilize hiyo mipango ya maandamano na ukombozi utacheka sana.