Ukitaka kufahamu kuwa wazee wa maandamano wana akili ndogo kasikilize " space " na "live " zao wakipanga mipango ya maandamano.

Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.

Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.

Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe watu wakachome tu vitu hovyo.

Kitu kinachonishangaza mimi Mafia boss with high IQ kuwa mipango na mikakati siriazi ya kumtoa kiongozi madarakani na kufanya matukio makubwa mnawezaje kuweka hadharani live na mkipanga kila kitu kama mko chumbani ? wakati huo huo mkijua mpinzani wenu ana kika nyezo anasikiliza na sio bwege ?

Ndio maana si ajabu mipango yao mingi imeanza kufeli vibaya maana wakipanga ratiba ya maandamano ya utangulizi kuanzia Tarehe 19 kabla ya D25 yote yameanguka vibaya.

Tatizo lingine hawataki kukubaliana na ukweli kuwa sasa watu wamezinduka sio kwamba wanaopenda CCM la wameona cha moto kutoka front na hasara zake . Jana Kuna clip mdada analia ameshindwa kwenda chuo kumalizia kisa Kaka yake tegemezi yupo ndani kwa kesi ya uhaini halafu wanaharakati hakuna aliyemsaidia huyo Dada kulipa ada kuendelea na masomo.

Kingine hawasomi alama za nyakati wala kufanya tathimini yakinifu kuwa kwa nini tulishindwa , tulikwama wapi na tuboreshe wapi ? bali wao oya oya twende tu . Ndio walisema #D9 ni uzinduzi maandamano yataendelea kuanzia siku hiyo bila kikomo na ilivyofeli D9 wakasema kesho yake mambo yakabuma wakaona bila kikomo ifutwe itangazwe rasmi #D25

Ni mengi ya kuandika ila ukiitaka kujua zaidi kuwa bado Kuna vijana wengi Wenye low IQ nenda kasikilize hiyo mipango ya maandamano na ukombozi utacheka sana.
Okay mkuu sasa kwanini usinge wa ignore?umewatengenezea hadi uzi?
Unatesekea ukiwa wapi?
Na bado chupi lazima ushike mkononi!
 
Usemayo ni kweli. Wana akili ndogo sawa na wale wanaowapinga na wale wanaowalaani. Machawa
 
Okay mkuu sasa kwanini usinge wa ignore?umewatengenezea hadi uzi?
Unatesekea ukiwa wapi?
Na bado chupi lazima ushike mkononi!
Lazima niwasome wajinga na njia zao ili niwaelimishe vizuri watu waiingie kwenye ujinga .
 
Chura kiziwi mwenywe akisoma huu uharo atabamiza simu ukutani
 
Jana Kuna clip mdada analia ameshindwa kwenda chuo kumalizia kisa Kaka yake tegemezi yupo ndani kwa kesi ya uhaini halafu wanaharakati hakuna aliyemsaidia huyo Dada kulipa ada kuendelea na masomo.
1. Jamaa ameachiwa na walitetewa na wakili wa TLS.
2. Dada amechangiwa zaidi ya 15m mpaka kufikia jana.
3. Huyo aliyekamatwa hakua anaandamana, alipeleka mawakala kituoni ila anageuza ndio aka akakamatwa. Yaani aliyetiki naye ameitwa mhaini!!
4. Kingine hakuna aliyeogopa kwenda front ila inatafutwa strategy nyingine!! Hata Hamas walianzaga kwa maandamano tu leo hii wanatumia makombora!!
Unataka mpaka tufike huko ndio muone hakuna muoga?
 
Wapumbafu sana...Yan unachoma biashara ya shilole ndio unasema unataka Haki. ...
Hiyo mbinu inaitwa Los pepes!! Una paralyse mali za CCM ili kuwa weaken na kuwatisha kujihusisha na CCM. And so far inafanya kazi, wasanii wamekua na adabu hata 2030 hutoona wanajikomba komba kama mwaka huu.

Na kwa mfanano tu ANC ilikua inalipua mabomu nyumba na ofisi za makaburu ili kudai uhuru!! na ndio huyo Mandela mnamuita shujaa sembuse Gen z wa bongo
 
Akili ndogo then utashangaa xmass hakuna pantoni, hakuna boti, njia zote zimefungwa

So nguvu yote ya nini kwa watu wenye akili ndogo
Vipi mkuu leo imekuwaje hapo Bongo?
 
1. Jamaa ameachiwa na walitetewa na wakili wa TLS.
2. Dada amechangiwa zaidi ya 15m mpaka kufikia jana.
3. Huyo aliyekamatwa hakua anaandamana, alipeleka mawakala kituoni ila anageuza ndio aka akakamatwa. Yaani aliyetiki naye ameitwa mhaini!!
4. Kingine hakuna aliyeogopa kwenda front ila inatafutwa strategy nyingine!! Hata Hamas walianzaga kwa maandamano tu leo hii wanatumia makombora!!
Unataka mpaka tufike huko ndio muone hakuna muoga?
Lini mnaleta makombora mkuu?
 
Back
Top Bottom