Ukitaka kufahamu kuwa wazee wa maandamano wana akili ndogo kasikilize " space " na "live " zao wakipanga mipango ya maandamano.

Gengis Khan wa Jf

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
1,311
Reaction score
3,344
Jana nilisikia space ya Maria , insta live ya Nuru vazi na za TikTok nasikilizaga.

Nikichogundua kuwa wako very disorganized yaani hakuna kiongozi watu wanaongea hovyo mpaka wengine wanagombana kabisa.

Kuna kundi Wanataka maandamano ya Amani mabango bila fujo huku wengine wakitaka wasipangiwe watu wakachome tu vitu hovyo.

Kitu kinachonishangaza mimi Mafia boss with high IQ kuwa mipango na mikakati siriazi ya kumtoa kiongozi madarakani na kufanya matukio makubwa mnawezaje kuweka hadharani live na mkipanga kila kitu kama mko chumbani ? wakati huo huo mkijua mpinzani wenu ana kika nyezo anasikiliza na sio bwege ?

Ndio maana si ajabu mipango yao mingi imeanza kufeli vibaya maana wakipanga ratiba ya maandamano ya utangulizi kuanzia Tarehe 19 kabla ya D25 yote yameanguka vibaya.

Tatizo lingine hawataki kukubaliana na ukweli kuwa sasa watu wamezinduka sio kwamba wanaopenda CCM la wameona cha moto kutoka front na hasara zake . Jana Kuna clip mdada analia ameshindwa kwenda chuo kumalizia kisa Kaka yake tegemezi yupo ndani kwa kesi ya uhaini halafu wanaharakati hakuna aliyemsaidia huyo Dada kulipa ada kuendelea na masomo.

Kingine hawasomi alama za nyakati wala kufanya tathimini yakinifu kuwa kwa nini tulishindwa , tulikwama wapi na tuboreshe wapi ? bali wao oya oya twende tu . Ndio walisema #D9 ni uzinduzi maandamano yataendelea kuanzia siku hiyo bila kikomo na ilivyofeli D9 wakasema kesho yake mambo yakabuma wakaona bila kikomo ifutwe itangazwe rasmi #D25

Ni mengi ya kuandika ila ukiitaka kujua zaidi kuwa bado Kuna vijana wengi Wenye low IQ nenda kasikilize hiyo mipango ya maandamano na ukombozi utacheka sana.
 
Hakuna mipango ni kukurupuka tu ona sasa Raia walivyokataa . Kutokubaliana na ukweli ni tatizo kubwa
 


Akili ndogo then utashangaa xmass hakuna pantoni, hakuna boti, njia zote zimefungwa

So nguvu yote ya nini kwa watu wenye akili ndogo
 
Mean while hakuna cha goli la mama wala nini??? Hajui kama kuna mashindano Moroko??? Mbona mnatuangusha
 
Hawawezi kuthubutu tena 😅😅hapo wanataka tu kuwa active
.Chama cha siasa kinacheza na matukio na sio agenda za muda mrefu ni upuuzi.
 
Ndio siku zote huwa tunasema hapa hawa wamefeli na hawajui kama wanaendelea kufeli


Kuna uzi niliandika unasema SIONI GEN Z WAKIFANIKIWA

Huoni dira wala mikakati wa kile wanachofanya,yani kama kundi la wahuni tu wamesha piga vismart au bangi na kuamua kufanya maamuzi fulani

Tatizo lao hawafanyi maamuzi kwa kuangalia faida na hasara za njia wanaotumia

Kibaya zaidi wanapanga mipango miovu na serikali inaona na kusikiliza,hivi wanajitambua kweli hawa??
 
Reactions: Tui
Hawawezi kuthubutu tena 😅😅hapo wanataka tu kuwa active
.Chama cha siasa kinacheza na matukio na sio agenda za muda mrefu ni upuuzi.
Ni kweli kabisa matokeo yake ndio haya, pale kwenye agenda za muda mrefu hata mikakati yake sio ya kukurupuka,wanajipanga na wakienda front kweli kabisa hata mabadiliko utayaona
 
Unamjua alie feli wewe? Nguvu inayo tumika kuimarisha ulinzi bro hizo ni gharama ambazo hazikuwa kwenye hesabu hasara iliyopatikana ni kubwa sana alafu unasema wamefeli, mmmhh mkuu zungusha akili vizuri
 
Kama unawaona Gen Z wana low IQ kwa harakati wanazopanga, basi serikali nzima ya samiya na nyie machawake wake mna akili kama za funza, maana inaonekana hukui kabisa hasara ambazo zimesababishwa na maandamano mipango hiyo ya maandamano kiuchumi.
 
Amani kwanza, bila Amani madhubuti hata hiyo michezo haina maana
Upo sasa amani kila mtu anataka amani na kuishi kwa haqi ila umemsikia Warioba leo?? Jeshini kuna chemka huko,amani itakuja kwa hii mipasho na kufokafoka kwa kina Mwigulu na Samia??? Kwani wao hawaoni njia nyingine yeyote zaidi ya kushindana na Mange ambae anasikiizwa kuliko wao??? Wapi mawazo ya Kabudi Kikwete mchumia tumbo Asha Migiro???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…