Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mkuu ukianza kuwatenga watu basi jua wewe sio mfanyabiashara aliyekomaa. Biashara inahitaji watu wa aina zote. Mtu unayemwona hawezi kukushauri utakuta ndo mwenye madini ya kutosha. Hata wale wakosoaji mara moja moja pata muda wa kuwasikiliza.Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala.
Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma.
Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya.
Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli zao za kijinga, chezea mshahara usichezee kazi.
Akiambiwa achague kazi au akuchague wewe unahisi atachagua nini?Kwa hiyo nimfukuze huyu mke wangu ambaye ni mwajiriwa?
Unaniweka njia panda ujue.
hahaa uyo hana noma anakuckilizaKwa hiyo nimfukuze huyu mke wangu ambaye ni mwajiriwa?
Unaniweka njia panda ujue.
Mfanya biashara ni 'risk taker' akiwasikiliza watu ambao wanakimbia 'risk', watampoteza.Mkuu ukianza kuwatenga watu basi jua wewe sio mfanyabiashara aliyekomaa. Biashara inahitaji watu wa aina zote. Mtu unayemwona hawezi kukushauri utakuta ndo mwenye madini ya kutosha. Hata wale wakosoaji mara moja moja pata muda wa kuwasikiliza.
Kama una kiwanda cha maji, wewe ukikataa kunywa watakunywa wengine.Ongezea kuwa pia uwatenge wasiwe wateja wako ili uwauzie wafanyabiashara wenzako tuu 😎
Atanichagua Mimi lakini ataendelea kufanya kazi.Akiambiwa achague kazi au akuchague wewe unahisi atachagua nini?
Wewe unaongelea wachuuzi, wafanyabiashara wanavikao vyaoNa hizo bidhaa zako uwauzie wafanyabiashara wenzako.
Maana waajiriwa wa Sasa hivi sio wa mwaka tisini, waajiriwa wenyewe wanabishara zao tunaungishana wenyewe kwa wenyewe, Whatsapp status za my colleagues hamna kitu unataka ukakosa Tena free delivery mpaka mezani ofisini, Haina ulazima wa kariakoo.
Tutenge Tukutenge
Muache aende dubai na bosi kwenye kikao cha kaziAtanichagua Mimi lakini ataendelea kufanya kazi.
Nimeshaambiwa nisikae na mwajiriwa maana atanishauri vibaya kuhusu biashara.hahaa uyo hana noma anakuckiliza
Hahaha 😂. Labda bosi niwe Mimi.Muache aende dubai na bosi kwenye kikao cha kazi
Itabidi beki 3 umpandishe cheoHahaha 😂. Labda bosi niwe Mimi.
Na ww kama hutak walioajiriwa, wengine wanawataka.Kama una kiwanda cha maji, wewe ukikataa kunywa watakunywa wengine.
Hapo umenena.Itabidi beki 3 umpandishe cheo
Uchuuzi? Yaani mtu atoe Mali dukani au store kwake au shambani kwake au ashushe mzigo toka china umuite mchuuzi, au unaongelea biashara za kina Mo, kama ni hivyo endelea kubwabwaja maana sidhani kama wanahitaji ushauri wako.Wewe unaongelea wachuuzi, wafanyabiashara wanavikao vyao
Wanawataka kwenye nini?Na ww kama hutak walioajiriwa, wengine wanawataka.