witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
SinzaHv kwa mji wa dar ni maeneo gan yaliyo salama kuishi?/ Ambayo hayana vibaka vibaka na wezi? Ukiachilia mbali oSterbay,Upanga,Mbezi,Masaki, na mitaa ya kishua kama hyo. Nazungumzia mitaa ya watu wa kipato cha kati tuh!
Huwezi kukuta huo upuuzi, hata uache nyumba wazi huibiwi[emoji848]