Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Hv kwa mji wa dar ni maeneo gan yaliyo salama kuishi?/ Ambayo hayana vibaka vibaka na wezi? Ukiachilia mbali oSterbay,Upanga,Mbezi,Masaki, na mitaa ya kishua kama hyo. Nazungumzia mitaa ya watu wa kipato cha kati tuh!
Sinza

Huwezi kukuta huo upuuzi, hata uache nyumba wazi huibiwi[emoji848]
 
Duuh..sijaikariri hiki kituo cha mafuta but hapo pia kuna junction kushoto barabara la vumbi nyingine ya lami inaendelea
Nishapajua, hapo ukipita njia ya Kisiwani kutoka Ferry ni kama 8km, kutoka Darajani kama 6km. Ila ukipita njia ya Mji mwema zinaweza kufika 13km au 14km
 
Sio mbali sana asee coz kwa private car nilitumia dk 28 ( hadi pale nilipokupm siku ile)...sasa ile njia ya kijichi kama hutaki kulipia both daraja na ferry unataka kupitia huko hadi city center ni km ngapi?
Hio ndefu kidogo hadi city centre inaweza kufika km 25 au 30
 
Hio ndefu kidogo hadi city centre inaweza kufika km 25 au 30
Eishh[emoji848][emoji848]

Kwahiyo mpango wa kulipia hasa darajani hakutakuwa na mabadiliko kabisa?

Na kuhusu maji ya chumvi vip? Coz niliona ukichimba shimo kidogo hapo kibada maji yalee?

RRONDO
 
Huijui kigamboni vizuri wewe.
 
Eishh[emoji848][emoji848]

Kwahiyo mpango wa kulipia hasa darajani hakutakuwa na mabadiliko kabisa?

Na kuhusu maji ya chumvi vip? Coz niliona ukichimba shimo kidogo hapo kibada maji yalee?
Kigamboni sehemu ndogo sana wanatumia maji ya Dawasa,kwingine kote watu wamechimba visima. Maji ya kawaida ya kisima tu
 
Kigamboni ukishuka Panton tu unakutana na maeneo skwata ta kufa mtu.

Eneo Kama kigamboni ingebidi iwe Kama Masaki au ostabay ila kwasababu sisi watanzania hatuwezi kupanga Basi ni balaa tupu.
 
Hv kwa mji wa dar ni maeneo gan yaliyo salama kuishi?/ Ambayo hayana vibaka vibaka na wezi? Ukiachilia mbali oSterbay,Upanga,Mbezi,Masaki, na mitaa ya kishua kama hyo. Nazungumzia mitaa ya watu wa kipato cha kati tuh!
Kaishi Magogoni karibu na Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…