Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa.

-Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy

-Ukiona ukikaa sehemu panastawi na watu unaokaa nao wanastawi pia.

-Ukiona Una uwezo wa kuunganisha watu mfano kuandaa platform mbalimbali.

-Ukiona watu wanaamini katika wewe Kama problem solver wao ,hasa ushauri n.k

-Ukiona unapenda kusaidia Sana watu , kuwapa misaada n.k

-Ukiona unapenda Amani kuliko migogoro

-Ukiona Una magnetism ,watu kupenda kuonana na wewe au kuja kwako, mfano dukani, nyumbani , kazini n.k

Faida za kuwa na positive energy
Utakuwa MTU wa kupendwa Sana na hii inaweza kuibua grudge so you have to play smartly.
 
Mada nzuri sana na imenigusa.Katika kampun 3 nilizofanya kazi,nilikuwa napata kibali sana lakin mwisho wa siku naishia kuchukiwa na kupigwa mqjungu na kuamua kuondoka mwenyewe.Somo linahitajika kwa wengine kujifunza ku manage postive energy zao.
 
✊🏿
 
Ukiwa tajiri unaeza kuwa na hizo sofa zote ukadhani ni positive energy kumbe ni pesa zako ndo zinafanya uwe hivyo
Inawezekana pia japo kuna utofauti wa pesa na positive energy , MTU anaweza kukupatia pesa , kusaidia , n.k Ila asiwe na hiyo kitu
 
Back
Top Bottom