Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

Ukitaka kujijua kuwa kama una positive Energy angalia hizi sifa

Ukiwa na postive energy jiandae kupigwa vita uta windwa kama mbwa koko kwa mashambulizi ya kiroho
Hasa makazini wataungana ili wakumalize ili kukamilisha mpango wao japo hawapendani
Utawasaidia sana na kuwapa kidogo ulichonacho lakin wataona si chochote
Watakitaka hicho ulichopewa na mwenyezi mungu wakimiliki wao
Binadamu hawana jema
 
Kama unataka kujijua kuwa Una positive energy. Hizi ni baadhi ya sifa.

-Ukiona unapendwa Sana na watoto wadogo 1-5 , watoto wadogo Mara nyingi wana uwezo wa Ku-sense positive Energy

-Ukiona ukikaa sehemu panastawi na watu unaokaa
nao wanastawi pia.

-Ukiona Una uwezo wa kuunganisha watu mfano kuandaa platform mbalimbali.

-Ukiona watu wanaamini katika wewe Kama problem solver wao ,hasa ushauri n.k

-Ukiona unapenda kusaidia Sana watu , kuwapa misaada n.k

-Ukiona unapenda Amani kuliko migogoro

-Ukiona Una magnetism ,watu kupenda kuonana na wewe au kuja kwako, mfano dukani, nyumbani , kazini n.k




Faida za kuwa na positive energy
Utakuwa MTU wa kupendwa Sana na hii inaweza kuibua grudge so you have to play smartly.
Sahihi mkuu!
 
Back
Top Bottom