DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Pesa imekuja hivi recently Ila the life was thereBila kuwa na pesa hiyo positive energy ni sawa na uchawi tu.
Upo sahihi mkuu. Na matajiri hawana utitiri wa marafiki kama sisi masikini"Ukiona unapendwa na kila Mtu, basi jitafakari" maana "ili ufanikiwe utahitaji Marafiki, ila ili ufanikiwe zaidi pia utahitaji maadui".
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Pesa imekuja hivi recently Ila the life was there century to century.Bila kuwa na pesa hiyo positive energy ni sawa na uchawi tu.
Uli uheshimike hata kwenye nyumba za ibada lazima uwe na pesa. Pesa ndio inafanya yote hapo juu.Pesa imekuja hivi recently Ila the life was there
CrapBila kuwa na pesa hiyo positive energy ni sawa na uchawi tu.
Ni mtazamo wako ,sio mbaya.Uli uheshimike hata kwenye nyumba za ibada lazima uwe na pesa. Pesa ndio inafanya yote hapo juu.
✊🏿Mada nzuri sana na imenigusa.Katika kampun 3 nilizofanya kazi,nilikuwa napata kibali sana lakin mwisho wa siku naishia kuchukiwa na kupigwa mqjungu na kuamua kuondoka mwenyewe.Somo linahitajika kwa wengine kujifunza ku manage postive energy zao.
Inawezekana pia japo kuna utofauti wa pesa na positive energy , MTU anaweza kukupatia pesa , kusaidia , n.k Ila asiwe na hiyo kituUkiwa tajiri unaeza kuwa na hizo sofa zote ukadhani ni positive energy kumbe ni pesa zako ndo zinafanya uwe hivyo
True ...Mfano mmoja wa watu hao ni nwanamasumbwi Muhammad Ali . Yule jamaa allipendwa aisee