Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Kuwafuga hawa wanyama inahitjai uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,

Wana visirani na viburi sijawahi ona , unaweza ukawa unamvuta na kamba akaamua kuzingua tuu yaani , kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania

View attachment 2612275
Mboni huku Dar hawana noma tena wanaachwa tu wanavuka mpaka barabara wenyewe
 
Halafu bora kuchunga mbuzi wakiwa wengi.. wakiwa wachache tatizo linakuwa kubwa zaidi maana usumbufu unakuwa usioelezeka. Pia ukiambiwa uwapeleke mnadani bora upewe kundi la ng'ombe kuliko mbuzi mmoja. Hadi mfike mnadani umesota.
 
Wanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
 
Asa kwann umvute kama na wewe sio kisirani.
Kuna wale wa kufunga , kama unao wachache bas unawafunga tuu Zen unasepa zako , kibembe akate kamba, Kwanza atakupigisha tizi moja si ya nchi , ukifanikiwa kumkamata kwenye kumvuta hyo ni shughuli nyingine pevu , anaweza amua kukaa tuu Kwa kibri
 
Kuwafuga hawa wanyama inahitjai uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,

Wana visirani na viburi sijawahi ona ,

Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanza huna la kumfanya , kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania

View attachment 2612275
Ila watamu balaa😜😜😜
 
Kuna wale wa kufunga , kama unao wachache bas unawafunga tuu Zen unasepa zako , kibembe akate kamba, Kwanza atakupigisha tizi moja si ya nchi , ukifanikiwa kumkamata kwenye kumvuta hyo ni shughuli nyingine pevu , anaweza amua kukaa tuu Kwa kibri
Ukiamua kumuacha akijikimbiza kimbiza hawezi kurudi mwenyewe? Au ndio kwa kuonesha jeuri harudi
 
Back
Top Bottom