uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mboni huku Dar hawana noma tena wanaachwa tu wanavuka mpaka barabara wenyeweKuwafuga hawa wanyama inahitjai uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,
Wana visirani na viburi sijawahi ona , unaweza ukawa unamvuta na kamba akaamua kuzingua tuu yaani , kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania
View attachment 2612275
Ukikasirika nitakua nakukiss kidogo tunaendelea kuwachunga mifugo wetu.Na hivyo visirani vyao si nitawachapa π
ππ Stroke jamani!!Ukikasirika nitakua nakukiss kidogo tunaendelea kuwachunga mifugo wetu.
ππππππule ujasir sasa umeisha kumuua mende tu nikaziNa ujasiri mlikuwa nao π
Mie hata kuua mjusi nilikuwa siwezi
Sahivi nikipiga mdudu akafa nampa na pole
Kuna wale wa kufunga , kama unao wachache bas unawafunga tuu Zen unasepa zako , kibembe akate kamba, Kwanza atakupigisha tizi moja si ya nchi , ukifanikiwa kumkamata kwenye kumvuta hyo ni shughuli nyingine pevu , anaweza amua kukaa tuu Kwa kibriAsa kwann umvute kama na wewe sio kisirani.
Asali wangu wa moyo.ππ Stroke jamani!!
Bora umuue kisha afe moja kwa moja. Akianza kuhangaika kukata roho lazima ukimbie ππππππππule ujasir sasa umeisha kumuua mende tu nikazi
Kuna hawa wa kufunga na kamba aisee akikata kamba atakupigisha tizi ya kiwango cha SGR, usipokuwa makini unaweza gongwa na gari mana mwenzio anavuka road Kwa speed ya mwangaππππ mbona umeleta kidogo tu elezea visa vyao
Ila watamu balaaπππKuwafuga hawa wanyama inahitjai uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,
Wana visirani na viburi sijawahi ona ,
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanza huna la kumfanya , kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania
View attachment 2612275
Ukiamua kumuacha akijikimbiza kimbiza hawezi kurudi mwenyewe? Au ndio kwa kuonesha jeuri harudiKuna wale wa kufunga , kama unao wachache bas unawafunga tuu Zen unasepa zako , kibembe akate kamba, Kwanza atakupigisha tizi moja si ya nchi , ukifanikiwa kumkamata kwenye kumvuta hyo ni shughuli nyingine pevu , anaweza amua kukaa tuu Kwa kibri
nguvu za kukimbia zinatoka wapi sasBora umuue kisha afe moja kwa moja. Akianza kuhangaika kukata roho lazima ukimbie ππ