Private ni pesa kwanza.Umeandika ukweli mtupu hospital binafsi nyingi pia majanga Wana kauli mbiu Yao wanasema " muwashie moto" ukisikia hivyo ujue unaweza Kuta laki 3 imeishia kwenye vipimo tu hujapata hata panadol .
Hospital za serikali ni nzuri maana hawana haja ya ku fake vipimo Wala dawa kama private changamoto Yao kubwa ni kwamba ziko congested sasa wagonjwa wengi subra inawashinda.
Nadhani mleta mada nilivyoumuelewa hajamaanishq watu wanataka kutibiwa bure. Anazungumzia ubovu wa huduma zinazotolewa hata kama gharama za matibabu unagharamia wewe.ila wa tz kwa kulalamika wewe unafikili zile dawa na vifaa tiba vilanunuliwa kwa karatasi? unataka upewe huduma bure tu au vipi /serikali imejitahidi walau watoto wa chini ya miaka 5 na wajawazito huduma zao ni bure na wewe mtu mzima unataka utibiwe bure
Vyoo vya kulipia ni mapato ya halmashauri.Umesahau vyoo vya kulipia vya serikali pia
NaamSisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Tatizo la Hospitali nyingi za serikali ni la kiongozi zaidi. Hospitali za serikali zenye huduma nzuri ni kwa sababu kiongozi wa hiyo hospitali anaishi vizuri na watumishi wake na anawasimamia vizuri katika majukumu yao. Ukiona hospitali huduma ni mbovu ujue shida ni ubinafsi wa viongozi.Sisemi uende fisi za halmashauri, manispaa au wilayani. Najua huko kuna matakataka yake, but atleast hawadeal na afya na uhai wa binadamu.
Nenda hospital za serikali. Unakufa wanakuangalia. Tukipata hela twendeni hospital kubwa za private.
Ukiweza kua na "daktari" wako. Ninayoyaona hapa niseme umasikini ni laana.
Utatafuta pesa utapata lakini ndugu jamaa na marafiki wapo ambao hawatazipata na mwisho wa siku utalazimika kwenda kuwaona wakipelekwa huko kwenye hizo hospital. Huwezi kukimbia hizo kero,, Jambo la muhimu no kuhimiza serikali kufanya kazi yake kupunguza huduma mbovuHatari mkuu!! Week iliyopita nilikuwa hospital ya serikali pia,,
Tuyaache tu....Tupambane tupate pesa
Kakudanganya nani watoto bure wewe????????? Mi nilienda na mtoto wa miezi nane uji ulipita kwenye njia ya hewa...imetughalimu zaidi ya laki mbili....(Silaumu ila ukweli watoto nikulipia mkuu..usije peleka mtoto hauna mia mfukoni itakula kwako,labda uwe fukara kwelikweli ndio utaenda ustawi wa jamii wakusaidiaila wa tz kwa kulalamika wewe unafikili zile dawa na vifaa tiba vilanunuliwa kwa karatasi? unataka upewe huduma bure tu au vipi /serikali imejitahidi walau watoto wa chini ya miaka 5 na wajawazito huduma zao ni bure na wewe mtu mzima unataka utibiwe bure
Mh! dr mwenyewe ndo huyo mdada mwenye trako kubwa hivyo kweli umejichagulia dokta!...πMimi ndio maana
Nimeamua kuajiri DR wangu peke yangu tu
Chief unatumia soda gani? Umetema madini mazuri kweliNakubaliana na wewe.
Ila kama kweli una pesa na unataka huduma nzuri nenda huko huko kwenye hospitali za serikali.
Shida mkiwa na pesa mnaenda hospitali za binafsi mnatoa pesa bila kushurutishwa tena mkiwa wapoleee.
Ila mkienda hospitali za umma, hamna hata 100 ila mnabweka kama mbwa koko kwasababu kuna mwanasiasa kawaambia matibabu ni bure.
Huko private wewe waoneshe pesa uliyonayo, watahakikisha wanakuandikia vipimo na matibabu yote kulingana na pesa yote uliyonayo wahakikishe wanaongeza mapato.
Na vipimo vitaonesha unaumwa kila kitu, na dawa utaandikiwa zote, zigo la dawa.
Na kibaya zaidi unaweza hata usipone.
Acha kabisa dr mguu upo πMh! dr mwenyewe ndo huyo mdada mwenye trako kubwa hivyo kweli umejichagulia dokta!...π
tafuta dokta wewe huyo atakulia visenti vyako tu kama LBL...π€£Acha kabisa dr mguu upo π
kila pembe ya duniaHata kwa waliopo kizimkazi?