Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

Hatujasema gharama. Tunaongelea huduma.
 
Wanataka uutoe kwanza pesa ndio upate huduma
Inawezekana lakini sikudaiwa hela ila ule mlolongo na maelekezo ya hovyo alafu bado nikakosa kitambulisho..

Bahati mbaya kitambulisho nilikua nakihitaji kwaajili ya shughuli moja muhimu sana hivyo ile shughuli ikafa, nikawa nimepata hasara ya nauli kufuata kitambulisho mkoani ambacho sikukipata na bado nikiwa nimehangaika vyakutosha mwisho nikapewa majibu mepesi mepesi kutoka ofisi za nida kwamba kupata hicho kitambulisho ni mpaka niende na SMS niliyotumiwa na NIDA ndipo waweze kukitafuta.
 
Sasa unakuta daktari mmoja ana foleni ya wagonjwa 50... Nesi mmoja au wawili wanahudumia wodi nzima... Mfamasia mmoja hospital nzima... Halafu wanalipwa pesa ya mboga... Lazima huduma ziwe mbovu.

Halafu pia watanzania tujifunze kugharamika kwenye vitu vya msingi... Mtu ukimkuta bar weekend anaspend 100K Ila alienda hospital anataka atibiwa bure, na bima ya 40K
 
Hospital za Serkali ni uharo+ Mavi ya nyoka. Nilienda Hospt ya manispaa fln tangia saa3 tuna msubiri Dr kaenda kunywa chai hadi7 halafu akatibu lisaa tu akasema Musa umeisha kama utani akatokomea walaaniwe wote
 
Mkuu ndo ujibiwe kunya? Mbona hata ukienda private bado utajibiwa vizuri hata kama huna hela utarudi hujatibiqa sawa Ila walau umeelekezwa vizuri kiasi kwamba ukipata hela lazima uende tu hapohapo
 
Hospital za Serkali ni uharo+ Mavi ya nyoka. Nilienda Hospt ya manispaa fln tangia saa3 tuna msubiri Dr kaenda kunywa chai hadi7 halafu akatibu lisaa tu akasema Musa umeisha kama utani akatokomea walaaniwe wote
Sawa.

Wewe ulikuwa na shida zako, na yeye ana shida zake.

Shida zako siyo muhimu sana kuliko zake.

Kila mmoja ajali shida zake
 
Ulitamani umlukie kwa makofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…