Asante sana kwa hili tusi, ninaweza nikafanya kama wewe au zaidi ya hapa ila acha nichague kuwa mjinga kwa kukaa kimya.Umeandika utaahira kama jitu liliotoka kufirwa.
Nashukuru.Ni oesa yake, maamuzi yake na matibabu yake.
Pumabvuu
PumbavuAsante sana kwa hili tusi, ninaweza nikafanya kama wewe au zaidi ya hapa ila acha nichague kuwa mjinga kwa kukaa kimya.
Sawa watumishi wa government mnatoa huduma bora kabisa kuliko private hongereni.
Nashukuru.
Kinachojadiliwa hapa ni utoaji wa huduma mbovu kwa makusudi unaofanywa na hao wauguzi na madokta, sasa wewe unakuja kusema eti chanzo ni kutokuwepo kwa motisha.Huwezi ukaelewa kama hauko kwenye utumishi wa umma halafu kuhusu motisha simaanishi pesa peke yake
Hv unazungumzia dispensary za uchochoroni mbona wabunge na wakubwa wanakomaa watibiwe agakhan kwani hizo hospital za umma hawazioni utakuta awamelazwa kule agakhan hospital za umma hawazioni.. Sis Mungu anatusaidia Kuna kipindi nimelazwa nilikuwa naona.Umeandika ukweli mtupu hospital binafsi nyingi pia majanga Wana kauli mbiu Yao wanasema " muwashie moto" ukisikia hivyo ujue unaweza Kuta laki 3 imeishia kwenye vipimo tu hujapata hata panadol .
Hospital za serikali ni nzuri maana hawana haja ya ku fake vipimo Wala dawa kama private changamoto Yao kubwa ni kwamba ziko congested sasa wagonjwa wengi subra inawashinda.
Mateso bila chukiNakubaliana na wewe.
Ila kama kweli una pesa na unataka huduma nzuri nenda huko huko kwenye hospitali za serikali.
Shida mkiwa na pesa mnaenda hospitali za binafsi mnatoa pesa bila kushurutishwa tena mkiwa wapoleee.
Ila mkienda hospitali za umma, hamna hata 100 ila mnabweka kama mbwa koko kwasababu kuna mwanasiasa kawaambia matibabu ni bure.
Huko private wewe waoneshe pesa uliyonayo, watahakikisha wanakuandikia vipimo na matibabu yote kulingana na pesa yote uliyonayo wahakikishe wanaongeza mapato.
Na vipimo vitaonesha unaumwa kila kitu, na dawa utaandikiwa zote, zigo la dawa.
Na kibaya zaidi unaweza hata usipone.
Asante sana ndugu, yaani ndio kwanza hata arobaini haijafika niko naagulia maumivu, kila nikikumbuka majibu aliyokuwa anatupa yule nesi na kujivuta vuta kwake halafu bado ni binti tu moyo unanyong'onyea, mara naingia huku nakutana na mtu anasema eti hosipitali za serikali wanatoa huduma nzuri pengine kuliko private, aisee nazidi kuumia zaidi..Pole sana mkuu
Wanakuja wale waliovimbiwa na shibe utasikia mitano tena..!!)()()
Duu poleni sana...walifanikiwa kuutoa huo uji?Kakudanganya nani watoto bure wewe????????? Mi nilienda na mtoto wa miezi nane uji ulipita kwenye njia ya hewa...imetughalimu zaidi ya laki mbili....(Silaumu ila ukweli watoto nikulipia mkuu..usije peleka mtoto hauna mia mfukoni itakula kwako,labda uwe fukara kwelikweli ndio utaenda ustawi wa jamii wakusaidia
Na jamaa mleta thread hajalalamika kuhusu huduma kulipia ..bali kalalamika huduma zipo mbovu hawakujali
Tatizo hujui mifumo ya afya inavyofanya kazi. Umewahi jiuliza kwa nini Hospitali hii huduma zake ni nzuri tofauti na Hospitali ile? Haya, kama muuguzi au dokta kamjibu mtu vibaya na hakuna hatua yoyote anayochukuliwa unategemea kuna kitakacho badilika? Narudia kusema matatizo mengi ya Hospitali zetu ni ya kiuongozi kuliko watumishi husikaKinachojadiliwa hapa ni utoaji wa huduma mbovu kwa makusudi unaofanywa na hao wauguzi na madokta, sasa wewe unakuja kusema eti chanzo ni kutokuwepo kwa motisha.
Imagine una mgonjwa yuko mahututi, unaenda kumuita nesi mara ya kwanza anakujibu nakuja, unakaa zaidi ya dk 10 unaona ngoja ukamuite tena, anakujibu kwa ukali "nimekwambia nakuja we vipi?" Unaamua kumuacha tu, halafu anakuja dk 20 baadae mgonjwa yuko kwenye hali mbaya zaidi....!!
Sasa kaika scenario kama hiyo utasema eti ameamua kufanya hivyo kwa sababu hana motisha?
Na kama inshu maslahi basi waache kazi, wafanye wengine ambao watakuwa committed kwa 100%.
Ukweli lazima tuseme huduma ni mbovu na hawako makini muda mwingine mimi walipoteza majibu ya mtoto maabara nimekaa mpaka muda wa kazi umeisha nikaambiwa niende mwenyewe maabara kufatilia nikakuta wanafunga ,yule mtu wa maabara kabaki anashangaa tena ananiambia huyu mtoto nilimpima na kusimamia vipimo mwenyewe bahati wana andika kwenye madaftari na bado alisahau kumpima typhoid ikabidi niende vimaabara vya huko nje ndio nirudi tena hospitalila wa tz kwa kulalamika wewe unafikili zile dawa na vifaa tiba vilanunuliwa kwa karatasi? unataka upewe huduma bure tu au vipi /serikali imejitahidi walau watoto wa chini ya miaka 5 na wajawazito huduma zao ni bure na wewe mtu mzima unataka utibiwe bure
Kweli mama wa rafiki yangu alivunjika mguu ana miaka 90 alitakiwa kutoa laki 9 rafiki yangu alikiwasha balaa hawatamsahauKakudanganya nani watoto bure wewe????????? Mi nilienda na mtoto wa miezi nane uji ulipita kwenye njia ya hewa...imetughalimu zaidi ya laki mbili....(Silaumu ila ukweli watoto nikulipia mkuu..usije peleka mtoto hauna mia mfukoni itakula kwako,labda uwe fukara kwelikweli ndio utaenda ustawi wa jamii wakusaidia
Na jamaa mleta thread hajalalamika kuhusu huduma kulipia ..bali kalalamika huduma zipo mbovu hawakujali
NO REFORM, NO ELECTIONTukiwambia No reform no election wanadhani masiharaππ
Kaka wengi humu nafikiri hata hawajui ni kuwa hata hizi private health care centers zina madaraja yake, wengi wanasema eti bora serikali kuliko private nadhani wanafikiri labda tunaongelea dispensary za uchochoroni zile ambazo kumuona dokta tu gharama ni 3,000/= unakuta hata vitanda tu vya kulaza wagonjwa vina kunguni.Hv unazungumzia dispensary za uchochoroni mbona wabunge na wakubwa wanakomaa watibiwe agakhan kwani hizo hospital za umma hawazioni utakuta awamelazwa kule agakhan hospital za umma hawazioni.. Sis Mungu anatusaidia Kuna kipindi nimelazwa nilikuwa naona.
Sahihi kabisa, nakumbuka ilikuwa ukienda pale general hospital, unapewa huduma kwa wakati na hakuna uzembe wa kiholela holela.Kipindi Cha mwenda zake naona huduma zilianza kukaa sawa. Now zimerudi nyuma Kwa speed ya 5G
Ndio uzembe wa makusudi huo ninaouongelea, yaani dokta mwenyewe kaja saa tatu nyie mmefika na mgonjwa tangu saa moja na anahitaji huduma ya haraka...Kuna Doctor mmoja me nilitaka kumpiga ngumi Kuna Mzee mmoja wa makamo na raia wengine kama wasingeingilia kati huenda Leo ningekuwa na Lissu Ukonga. Imagine mgonjwa yuko hoi halfu wao wanazurula zurula tu na makoti km ya butchery. seriously inakera na inaumiza jamani
KabisaWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
ππππHata private napo kuna huduma mbovu sema, aisha ana nafuu zaidi ya mwajuma ndala ndefu .