Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Mwendakasi sio shirika la umma?? nadhani ndio maana huwezi kukuta utendaji kazi wake una hojiwa mahali popote pale.
Si wabunge, si waziri, si madiwani, wote kimya.

Ni wananchi ndio wenye uwezo wa kuamua hili shirika liendeje.
Tatizo wengi wetu ni wabinafsi,
Mtu analalalimika, ila akishaingia(kwa kugombania) kwenye Basi. Anasahau shida zote. Walioko nje anawaona kama wamekosea maisha.
Kama wananchi tungekuwa tunajua tunataka nini siku moja pale kimara/ gerezani/kivukoni, tunagoma mpaka mtendaji mkuu aje aone adha tunayopitia.
Pengine wangekua serious na usafiri huu.

Shida ya Tanzania inaanza na sisi wenyewe, wananchi hatutaki mabadiliko ya aina yoyote.
 
Watanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo
Kuna siku niliwah kuwaza hivyo,kua huenda Kuna kitu hakko sawa Kwa watz wenzangu hasa akilin ,nkahis mm ndo nna tatzo labda ila sasa naona uenda nilkua sahihi kusema tunatatzo la ufkiri watz,, tuna miaka 60+ ya uhuru hatuwez hata kujisimamia kuendesha bandari zetu mpka tuite watu weupe,tuna madin ila wachimbaji wakubwa ni watu wenye pia refu na weupe,hata kutengeneza kabati na meza tuna agiza China,kiberiti tunaagiza ,,nahis tumelogwa au akili zetu wengi tuna shida kasoro mm
 
Mwendokasi wapo Watanzania wanaoweza kuendesha sema waliopewa hawana uwezo wowote wewe angalia mtu na Coaster zake anafanikiwa na anaongeza zingine na Road analipia Trafiki na ushindani mkubwa wakati hao mwendokasi hawana upinzani wowote abiria wanasubiri Bus ambazo ambazo zipo chache na mbovu..
 
Back
Top Bottom