Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

Hivi CCM kuna asiyekula rushwa au mwizi?

Rough wanazofanyanya kwenye chaguzi zingine unadhani hawafanyiani wao kwa wao?

Hapo juu ndio wanachapisha form moja wanasema amepita bila kupingwa .

Hiki chama ni janga kabisa.
 
Richa ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi.

Na January kufeli kabisa kwenye umeme!

Utashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu.

Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha Hawa vijana.
Umeme ni tatizo la kihistoria, Makamba ana muda mfupi tu katika hiyo wizara, asingeweza kufanya maajabu, kutatua tatizo la umeme sio kama unavyoenda chumbani kwa mumeo na kumpa haki yake

Unajua kutangaza tenda ya kutengeneza mtambo wa umeme, kutengeneza mpaka uanze kuzalisha umeme inachukua muda gani? Hizo fedha unafikiri unakuta zimetupwa unaokota?

Na huo ukame uliotamalaki sehemu kubwa ya afrika?! Tukutume kwenye mabwawa ukamwage kojo yajae?
 
Dodoki la maana linapita hapa.

Siasa ya namna hii ishapitwa na wakati, Sasa hivi tunaona na tunajua umeme ulivyokuwa miaka 6 iliyopita.
 
Richa ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi.

Na January kufeli kabisa kwenye umeme!

Utashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu.

Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha Hawa vijana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]chama kina wenyewe
 
Nyalandu: Kura zangu za Ushindi wa kuwa mgombea Rais wa JMT kupitia Chadema kapewa Tundu Antipas Lisu

Je, hiyo Siyo Rushwa
 
Hilo tatizo la kihistoria mbona hatukulisikia kwa magufuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…