Ukitaka kujua Rushwa inafanyaje kazi, angalia Nape na Makamba wanavyochaguliwa huko Dodoma

Nakuunga mkono. Wapinzani feki wamekaa kimya tu muda huu.
 
Richa ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi.

Na January kufeli kabisa kwenye umeme!

Utashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu.

Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha Hawa vijana.
Hiyo kazi inafanya na waisiharamu wakiongozwa na wahuni waisiharamu GSM NA ROSTAM lengo lao ni kumiliki serikali kama mali yao binafsi
 
Dodoki la maana linapita hapa.

Siasa ya namna hii ishapitwa na wakati, Sasa hivi tunaona na tunajua umeme ulivyokuwa miaka 6 iliyopita.
Mkuu ukame ni tatizo la afrika nzima, nenda South Africa uone palivyo pakavu mwaka huu. Kila kiu nchi hii ni siasa za bei rahisi, watu wamejiweka tayari kulaumu bila hata kushirikisha ubongo japo kidogo tu.
 
Samahani mkuu kwahiyo kama na South ni pakame nao wana mgao wa umeme na maji? Au pamoja na kuwa na ukame umeme na maji kwao sio tatizo
 
Tunajua kuliko wewe unavyoandika hapa.. tangu 2021 kazi ni katakata ya umeme.
 
Samahani mkuu kwahiyo kama na South ni pakame nao wana mgao wa umeme na maji? Au pamoja na kuwa na ukame umeme na maji kwao sio tatizo
Ujumbe ni mpana nilioandika, uelewe vizuri. Tunaweza kuwa tunatatua tatizo la muda mfupi huku tukiacha lile la miaka na miaka likaendelea kuwepo.
 
Mngekuwa mnajua msingekuja na rundo la lawama zinazotokana na hasira na chuki kwa serikali ya awamu ya sita.
Hatuna chuki na awamu ya sita Wala hatuna mpango wa kuipindua.

Uharisia unabaki pale pale. Tumachezewa na wachache. Walamba asali a.k.a wenye kamba ndefu.
 
Kipindi chake ndio hali imekuwa mbaya zaidi, wakati wa JPM tulisahau Generator ila sasa mgao km kawaida Bora ukae kimya usidhani watz wa sasa ni wajinga km wewe
 
Hatuna chuki na awamu ya sita Wala hatuna mpango wa kuipindua.

Uharisia unabaki pale pale. Tumachezewa na wachache. Walamba asali a.k.a wenye kamba ndefu.
Kuliko kulialia na kuonekana kama wivu unawasumbua, cha kufanya ni kujiunga na kundi hilo. Wanalamba asali na miaka inapita kwa kasi.
 
Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu!

Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
NA UKITAKA KUJUA BILA RUSHWA HUSHINDI NDANI YA CCM ANGALIA WASANII SHAFII VUJA BEI NA MANARA WATAKAVYOTUPWA NJE
 
Hadi leo mnaongelea maji!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…