Tangu 1947, zaidi ya robo ya US Secretaries of Defence hawakuwa na military backgrounds, thanks to Google:Umeshawahi kuona Secretary of Defence wa Marekani akawa hana background katika Army?
Tunakwenda na mama. Tunaye na tunaringa naye.Full mizinguo
Huyu anafanya nini?
Hakuna anayefikia rekodi ya Jenista Mhagama kuwa waziri wa Afya. Kwl uchawi upo, wangoni huo uchawi wenu unadhalilisha nchi? Uchawi gani hauna faida kwa nchi?Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Wewe ni mpumbavu, waziri ni muwakilishi wa rais,kwa hoja yako rais anapaswa kujua michezo,fedha,uchumi,afya,kilimo, biashara,madini,nishati nk..wizarani kuna wataalam wengiHii huwa ni hoja ya kijinga ambayo huwa inatolewa na maccm ili kufunika upumbavu wao.
Waziri ndiye msimamozi na mshauri mkuu wa rais kuhusiana na masuala ya sekta ya wizara yake. Sasa kama hajui chochote atashauri nini? Pumbafu!
Huoni kwa akina Trump, DOGE iko chini ya mtu mwenye akili Elon Musk?
Kwamba kuna waziri anakua hajui abc za wizara husika na kwamba watumishi wizarani hawana uzalendo isipokua waziri tu!?..so waziri wa elimu sharti awe mwalimu,afya daktari,nishati mtu wa nishati!?..mnajua uwaziri ni kitu gani!?Upo sahihi...
Ila tukija kwenye uhalisi, hii inamake sense?
Waziri asiyefahamu kuhusu wizara huoni ina kuwa rahisi kwa wajumbe na makatibu kutumia huo udhaifu na kuandaa bajeti ya kipigaji afu jumba bovu likamuangukia?
Walokosa cha kumpa wakamue kokoteUkienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.
Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.
Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Tz ukishakuwa kwenye ule Mkataba Mwitongo hutoki tena ukoo wako woote.Tatizo langu, nchi yenye watu milioni 60, tunatawaliwa na watu wale walewale miaka yote, utadhani sisi wengine waliisha tupima wakakuta tuna matatizo ya akili.
Yani hata rais akitangaza baraza jipya kesho utakuta ni wale wale, ila wizara tofauti.
Tatizo ni nini wadanganyika wenzangu.?
Michezo ina sheria zake🐼Hivi kabudi ndo waziri wa michezo au kwa kuwa kawekwa kwenye utamaduni..si mtu wa sheria yule
Wewe bwege hapo umetaja sekta tofauti. Mbwa wahed wewe!Wewe ni mpumbavu, waziri ni muwakilishi wa rais,kwa hoja yako rais anapaswa kujua michezo,fedha,uchumi,afya,kilimo, biashara,madini,nishati nk..wizarani kuna wataalam wengi
Waziri wa ulinzi😃
Ha ha haaaaaTz ukishakuwa kwenye ule Mkataba Mwitongo hutoki tena ukoo wako woote.
😅😅kuna myth hiyoHa ha haaaaa
Eti mkataba mwitongo....
Mkuu, nisaidie kunielewesha hapa kuhusu uwaziri. Kuna kitu natamani kufahamu.Kwamba kuna waziri anakua hajui abc za wizara husika na kwamba watumishi wizarani hawana uzalendo isipokua waziri tu!?..so waziri wa elimu sharti awe mwalimu,afya daktari,nishati mtu wa nishati!?..mnajua uwaziri ni kitu gani!?
Sawa,Michezo siyo mpira wa miguu tu, uwaziri ni utawala,siyo lazima waziri wa madini awe na shahada ya miamba,wa kilimo awe bwana shamba, acheni ujuaji wa kijuha
Kudhani au ni suala la fact,nikidhani itakua kweli!?Sawa,
Wewe unadhani katika wizara yake nzima, kipi angalau Prof Kabudi ni mbobevu nacho labda ukiacha michezo??