Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

Ukitaka kujua serikali haijawahi kuwa serious na maendeleo ya kweli, Kabudi na michezo wapi na wapi?

Umeshawahi kuona Secretary of Defence wa Marekani akawa hana background katika Army?
Tangu 1947, zaidi ya robo ya US Secretaries of Defence hawakuwa na military backgrounds, thanks to Google:

Since 1947, six of the twenty-one Secretaries of Defense have not served in the military. They were Charles Wilson, Neil McElroy, James Schlesinger, Dick Cheney, Harold Brown, and William Cohen.
 
Mleta mada umenichekesha saaana sijuhi una umri gani??kama hujuhi kuwa hii nchi imeuzwa na ndo maana tunapambana miaka yote kuirudisha kwa wananchii.Nchi ambayo raia hana sauti ni kampuni binafsi ya watu.. shareholders wanapanga nani aongoze na wanagawana faida.
 
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.

Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.

Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Hakuna anayefikia rekodi ya Jenista Mhagama kuwa waziri wa Afya. Kwl uchawi upo, wangoni huo uchawi wenu unadhalilisha nchi? Uchawi gani hauna faida kwa nchi?
 
Hii huwa ni hoja ya kijinga ambayo huwa inatolewa na maccm ili kufunika upumbavu wao.

Waziri ndiye msimamozi na mshauri mkuu wa rais kuhusiana na masuala ya sekta ya wizara yake. Sasa kama hajui chochote atashauri nini? Pumbafu!

Huoni kwa akina Trump, DOGE iko chini ya mtu mwenye akili Elon Musk?
Wewe ni mpumbavu, waziri ni muwakilishi wa rais,kwa hoja yako rais anapaswa kujua michezo,fedha,uchumi,afya,kilimo, biashara,madini,nishati nk..wizarani kuna wataalam wengi
 
Upo sahihi...
Ila tukija kwenye uhalisi, hii inamake sense?

Waziri asiyefahamu kuhusu wizara huoni ina kuwa rahisi kwa wajumbe na makatibu kutumia huo udhaifu na kuandaa bajeti ya kipigaji afu jumba bovu likamuangukia?
Kwamba kuna waziri anakua hajui abc za wizara husika na kwamba watumishi wizarani hawana uzalendo isipokua waziri tu!?..so waziri wa elimu sharti awe mwalimu,afya daktari,nishati mtu wa nishati!?..mnajua uwaziri ni kitu gani!?
 
Ukienda katika serikali zilizo serious na zinazotaka maendeleo ya kweli, Taasisi ya Rais zinakuwa makini sana katika kuteua watu makini, Wenye Ujuzi, Uzoefu na Weledi katika kada husika.

Ukienda Marekani pale katika wizara zake, Kiongozi mkuu wa wizara lazima awe mtu competent katika kada husika. Utamkuta Howard Lutnik ambaye ni Nguli katika masuala ya Biashara na ndiye kakabidhiwa Wizara ya Biashara, Vivyo hivyo kwa viongozi wakuu wa wizara zingine ambao huteuliwa na kupitishwa na Senate.

Exceptional zipo kulingana na uhitaji wa sekta husika, na mahitaji ya Kiongozi mkuu wa sekta husika, Ila kwa kiasi kikubwa, Competency huzingatiwa na si Uchawa kupewa kipaumbele.
Walokosa cha kumpa wakamue kokote
 
Tatizo langu, nchi yenye watu milioni 60, tunatawaliwa na watu wale walewale miaka yote, utadhani sisi wengine waliisha tupima wakakuta tuna matatizo ya akili.

Yani hata rais akitangaza baraza jipya kesho utakuta ni wale wale, ila wizara tofauti.

Tatizo ni nini wadanganyika wenzangu.?
Tz ukishakuwa kwenye ule Mkataba Mwitongo hutoki tena ukoo wako woote.
 
Wewe ni mpumbavu, waziri ni muwakilishi wa rais,kwa hoja yako rais anapaswa kujua michezo,fedha,uchumi,afya,kilimo, biashara,madini,nishati nk..wizarani kuna wataalam wengi
Wewe bwege hapo umetaja sekta tofauti. Mbwa wahed wewe!
 
Kwamba kuna waziri anakua hajui abc za wizara husika na kwamba watumishi wizarani hawana uzalendo isipokua waziri tu!?..so waziri wa elimu sharti awe mwalimu,afya daktari,nishati mtu wa nishati!?..mnajua uwaziri ni kitu gani!?
Mkuu, nisaidie kunielewesha hapa kuhusu uwaziri. Kuna kitu natamani kufahamu.
 
Michezo siyo mpira wa miguu tu, uwaziri ni utawala,siyo lazima waziri wa madini awe na shahada ya miamba,wa kilimo awe bwana shamba, acheni ujuaji wa kijuha
Sawa,
Wewe unadhani katika wizara yake nzima, kipi angalau Prof Kabudi ni mbobevu nacho labda ukiacha michezo??
 
Back
Top Bottom