The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine