Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
corruption is at all time high
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano mdogo tu TOTO Afya Kadi ilikuwa 50400/ Kwa mwaka. SASA ni 120000/ Kwa mwaka..Naughty by nature, sawa nakubali Mimi ni masikini, na tupo wengi, nchi ni yetu. JPM alikuwa anatutea sisi.
Acha uongoHata NHIF kuna MDA network inakata. Inabidi MTU ulipe Cash mgonjwa ahudumiwe hatari tupu
Pole ndugu, wapo Wengi sana kama wewe, kuna halimashauri moja KAZI zilisimama Kwa takribani wiki nzima kisa wamekatiwa umeme na TANESCO. Na Hakuna WA kulipa deniUmenene kweli kabisa ..Mimi nimelipia kuunganishiwa maji miez mitatu saiv wanasema hawana vifaa na ela nimelipa kwa control no..hapa KOROGWE MJI..nawaza kumtafuta wazir wa maji Juma aweso labda anaweza nisaidia nikapata maji
Ulikuwepo kama zamani tuLini kipindi cha JPM uliskia upumbavu upumbavu kwenye huduma.
Ongea na watu usishinde JF Pekee. Huko maofisini kuna uozoAcha uongo
Taja hiyo hospital uliyolipa cash kisa mtandao wa Nhif ulikua down
OkaySikusema JPM alitutesa Ila alitutetea, angalia andiko lako.
Kuna watu Wana chuki zao binafsiHospital zimeboreshwa sana TU,Leo Hadi zahanati Zina CT scan,MRI,etc,,kabla CT scan ilikua moja TU nchi nzima,ilikua aga khan
KwendaOngea na watu usishinde JF Pekee. Huko maofisini kuna uozo
Hebu peleka hii kwenye jukwaa la kisiasa, Serikali walisome , inawezekana hawafahamu ila wanafatilia mada nyingi sana hapa jf ila kule kwenye jukwaa la siasa.Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine
waste of time. amna mtu ana solve.Hebu peleka hii kwenye jukwaa la kisiasa, Serikali walisome , inawezekana hawafahamu ila wanafatilia mada nyingi sana hapa jf ila kule kwenye jukwaa la siasa.
Wanaweza wakashughulikia.
Kusanya yote hayo alafu ishi na watu vizuri kuwa na kauli za utu,Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine
Hizo changamoto hazijawahi kulisha tangu tupate uhuru,acha kisingizia awamu hii