Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi wavivu,wanapenda kulaumu.Mtu mvivu kwa kulaumu humuwezi.Kuna lipi lililobadilika toka awamu zilizopita?
Ni vizuri ukataja taasisi uliyopata changamoto na yule uliyemkuta akakupa hiyo changamoto. He kituo gani Cha polisi? Mahakama gani? Hospital au halmashauri gani?
Vinginevyo ni dhana dhahania na porojo za kuchngamsha kijiwe ua kutaka kusifia mtu.
Hapa ni pabovu sana na simu zote wamezima nimeshangaa mpaka ikulu wanazima simuHUDUMA OFISI ZA UMMA
Wewe utakuwa mtu mvivu.Mtu mvivu kwa lawama hawezekani.Kila kitu atalaumu,!hata uvivu wake,atalaumu wengine.Kuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine
SahihiHizo changamoto hazijawahi kulisha tangu tupate uhuru,acha kisingizia awamu hii
Kuna ofisi fulani kuna documents nilikua nafuatilia wananipiga danadana nikaona isiwe tabu nikaenda kutoa maelezo kwa mkubwa mmoja akapiga simu moja tu nikaambiwa mwambie aje sasa hivi aje achukue documents zake, nikaenda kweli documents nikazikuta Ila zilishasainiwa mda mrefu sana nahisi walikua wanataka niwape Pesa nikaweka ngumu ndio maana walikua wananizungusha wakawa hawanipi documents zangu, rushwa mbaya sanaLkn tunasahau nchi haijengwi na rais pekee yake bali na wanachi wote
Jamaa ana kitu huyu asipuuzweKuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine
kwa urefu wa kamba, shida ilianzia hapoKuna watu bado wana shadadia hii serikali ya awamu ya sita sijui ni kwa makusudi au kukosa uelewa, inshort naweza sema wengi wao ni wapiga dili, kama siyo mpiga dili hii serikali huwezi iunga mkono hata kidogo ina mambo ya ajabu ambayo hayajawhi kutokea tongu tupate uhuru.
Sasa Mwananchi Mwenzangu ukitaka kujua uchungu wa seikali hii dhaifu pata matatizo kama haya hapa chini japo ni kwa mfano mengine mtaongezea.
1. MIGOGORO. Usiommbe uwe na mgogoro wowote iwe ni nyumba , shamba , mali au na taasisi yoyote ya serikali utajuta kuzaliwa Tanzania, Mwenye nacho ndiyo anayesikilizwa
2. UGUA au UUGULIWE . he he he he hapa utajamba cheche kudadadeki wahudumu wa afya hawajali mtu kabisa awamu hii hasa huko kwenye halimashauri na mansipaa , utatamamu bora ufe kuliko kuendelea na mateso huku hakuna anayekujali wala kukuhudumia..
3. UNAHITAJI MSAADA WA POLICE, Mhii jamani police wa Tanzania sijui wamerogwa nani , yaani bora utafute mganga umroge huyo mtu kuliko kwenda kumshitaki police utapoteza mda na hela bure.
4.HUDUMA OFISI ZA UMMA. Hatari tupu swala la siku mbili unaweza kuhangaika miezi mitatu kila siku unapigwa calendar , watu wako busy na mambo yao hawajali chochote, wala kumjali yeyote., na hawatishiki na yeyote
Haya mambo yasikie kwa jirani awamu hii usiombe yakukute hasa ukiwa huko kwenye halimashauri na manispaa ni pasua kichwa.....ongezeeeeni kama mna mengine
Hakika ndo shida hiyo watu kumpa mtu haki yake wanaona kama vile wanakupa favour wakati wapo pale kwa ajili ya kutumikia wananchi ili walipwe mishahara. Na yote sababu hatuna uzalendo. Watumishi hawawajibiki utadhani ofisi za serikali walizaliwa nazo wakati wamezikuta na wataziacha.Kuna ofisi fulani kuna documents nilikua nafuatilia wananipiga danadana nikaona isiwe tabu nikaenda kutoa maelezo kwa mkubwa mmoja akapiga simu moja tu nikaambiwa mwambie aje sasa hivi aje achukue documents zake, nikaenda kweli documents nikazikuta Ila zilishasainiwa mda mrefu sana nahisi walikua wanataka niwape Pesa nikaweka ngumu ndio maana walikua wananizungusha wakawa hawanipi documents zangu, rushwa mbaya sana
[emoji3578]
Hospital zimeboreshwa sana TU,Leo Hadi zahanati Zina CT scan,MRI,etc,,kabla CT scan ilikua moja TU nchi nzima,ilikua aga khanHata kama hatuipend serikali ila kusema huu uongo to this extent ni ushoga tu aiseee,
Kila siku watu wanakuwa discharged hospitals, hospital zinaboreshwa, licha ya kuwa sio katika level tunayotaka, ila zipo bora kuliko jana
Huko mahakamani na police hao miaka yote ni shida kabisa, kesi za ardhi hata kikwete alikiri hadharani ni mzigo mnene na aliushindwa, ila yote kwa yote bado kesi zinaenda,
Tusiwe watoa uzushi tu kisa hatumpend mtu au taasisi fulani, tukosoane kihaki, wakizingua kuuza bandari tuwaambie ila sio kuwazushia
Hama nchi kama vp nmmmbwa wwSerikali ya awamu ya sita ni serikali mfu.kilakitu kimekufa
Huwezi kuwa na nyumba masikini wwNiliingiza umeme nyumba yangu wakati wa JPM, raha sana. Hapakuwa na longo longo.
Siwezi kumalizia idadi yake. In short nI zoooteKuna lipi lililobadilika toka awamu zilizopita?