Ukitaka kujua ubovu wa serikali ya awamu ya sita, Yakupate haya utajuta kuzaliwa Tanzania.

Umenene kweli kabisa ..Mimi nimelipia kuunganishiwa maji miez mitatu saiv wanasema hawana vifaa na ela nimelipa kwa control no..hapa KOROGWE MJI..nawaza kumtafuta wazir wa maji Juma aweso labda anaweza nisaidia nikapata maji
 
Mara nyingi wavivu,wanapenda kulaumu.Mtu mvivu kwa kulaumu humuwezi.
 
Wewe utakuwa mtu mvivu.Mtu mvivu kwa lawama hawezekani.Kila kitu atalaumu,!hata uvivu wake,atalaumu wengine.
 
Anachosema mdau ni kweli kabisa. Sio kwamba Rais hafanyi mazuri anafanya lkn watumishi wake ndo wanamponza. Watumishi wanatoa huduma kulingana na mood zao na si kwamba ni sehemu ya majukumu yao wanayolipwa mshahara.
Binafsi nishawahi kwenda ofisi fulani kuchukia document yangu nilipofika nikaambiwa faili lako bado halijafika,,wakati nilishaambiwa kabisa limefika. Ikabidi niulize mbona nimembiwa limefika na wewe unaniambia bado nilichojibiwa jiongeze japo ya chai. Nikachoka.

Siku nyingine nimeenda hospitali moja kupata huduma watu wapo kwenye foleni dr yupo busy anamfanyia orientation mtu wa field mambo ya mfumo.

Sasa chochote kibaya kinapotokea Rais anaonekana hafanyi kazi sababu inaonekana kama vile yeye ndo anawachekea watumishi kwa kutowawajibisha.

Lkn tunasahau nchi haijengwi na rais pekee yake bali na wanachi wote





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn tunasahau nchi haijengwi na rais pekee yake bali na wanachi wote
Kuna ofisi fulani kuna documents nilikua nafuatilia wananipiga danadana nikaona isiwe tabu nikaenda kutoa maelezo kwa mkubwa mmoja akapiga simu moja tu nikaambiwa mwambie aje sasa hivi aje achukue documents zake, nikaenda kweli documents nikazikuta Ila zilishasainiwa mda mrefu sana nahisi walikua wanataka niwape Pesa nikaweka ngumu ndio maana walikua wananizungusha wakawa hawanipi documents zangu, rushwa mbaya sana
✍️
 
Jamaa ana kitu huyu asipuuzwe
 
kwa urefu wa kamba, shida ilianzia hapo
 
Hakika ndo shida hiyo watu kumpa mtu haki yake wanaona kama vile wanakupa favour wakati wapo pale kwa ajili ya kutumikia wananchi ili walipwe mishahara. Na yote sababu hatuna uzalendo. Watumishi hawawajibiki utadhani ofisi za serikali walizaliwa nazo wakati wamezikuta na wataziacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital zimeboreshwa sana TU,Leo Hadi zahanati Zina CT scan,MRI,etc,,kabla CT scan ilikua moja TU nchi nzima,ilikua aga khan
 
Niliingiza umeme nyumba yangu wakati wa JPM, raha sana. Hapakuwa na longo longo.
 
Unafahamu kwann tunaona hakunakinachoenda. ..marehemu amewatoa wa TZ utando vichwani. .uliokua umewekwa tangu enzi hizo watu..people knows that serikali inaweza toa huduma km private sectors.
 
Naughty by nature, sawa nakubali Mimi ni masikini, na tupo wengi, nchi ni yetu. JPM alikuwa anatutea sisi.
 
Siwezi kumalizia idadi yake. In short nI zooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…