Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.
Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.