Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Haaahaa 😂 yaan nikuhakikisha unawabana unapata ya kubrashia viatu😅Baada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.
Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.
Inasikitisha sanaTaifa limeshazama hili, Kuanzia viongozi mpaka wananchi ni Ujinga ujinga ...
R.I.P Tanzania
Tz ya ccm hii bado sanaBaada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.
Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.
HahahTaifa limeshazama hili, Kuanzia viongozi mpaka wananchi ni Ujinga ujinga ...
R.I.P Tanzania
tuuzeni nchi tugawane hela au mnasemaje wahisani na madalali..?Taifa limeshazama hili, Kuanzia viongozi mpaka wananchi ni Ujinga ujinga ...
R.I.P Tanzania
East Africa watu wenye akili wapo Kenya na UgandaBaada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.
Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.
Hahahtuuzeni nchi tugawane hela au mnasemaje wahisani na madalali..?
Utashangaa kuona watu type yaakomda eti Wana wafuasii ni tz pekee utaona mambo hayaBaada ya kusoma comments za Watanzania juu ya habari ya uhusika wa Makonda kwenye jaribio la kumuua Lissu ninasema kuwa Watanzania hawastahili kuonewa huruma.
Lissu tangu miaka ya 90 anapigania haki na ustawi wa Watanzania lakini Watanzania ni kama walifurahia jaribio la mauaji yake. Unaweza kuwapigania ukafa wenzako wakashangilia kifo chako.
Popote ulipo kwenye nafasi yoyote usijifanye mnyenyekevu kwa Watanzania. Ukiwapa huduma bila rushwa wanakuona mjinga.
Hayo makabila hayapigwi vita kwasababu ya akili zaotz Yale makabila yenye akili sana yanapigwa vita wanaenda mbali zaidi wanasema Nyerere alikataa yasitoe mtawala