Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

We nae huyo jpm wako lishaozeana huko,tafuta mungu mwingine
 
Kwaiyo ulitaka wasifuatilie kwa karibu muda wa kula? nenda ofisi za private hata wahindi, ukaone muda wa lunch! Ofisi zinafungwa kabisa!

Hii mnakosea aisee, mnaonea sana watumishi wa Umma! Hata ivyo wengi ni wavumiluvu sana! Mnawalaum bure, mazingira yao ya kazi ni Magumu.

Hawapewi motisha kabisa.
 
huu ni ukweli mtupu,vyuoni utakuta mwanafunzi anataka notes tu,enzi hizo nafundisha chuo kimoja nchini nilikataa kuwapa notes,nawapa vitabu tu vya kusoma walikua wanafeli sana hata ukitoa maswali ya mifano,nikaacha kazi ;
tubadilike;
Wewe unaona ulikuwa unapatia kabisa, nyie ndio wale waalimu mnafanya Elimu kuonekana ngumu!

Unafaham kabisa miundombinu ya vyuo vyetu si rafiki kwa wanafunzi, na bado unafaham Library zetu hazina viwango vya kuridhisha kupata vitabu au ku Accomodate wanafunzi wote at once.

Unafaham kabisa, hali ya uchumi ya wanafunzi wetu, ikiwa asilimia kubwa ni watoto wa maskini! unakuja hapa unaongea kama hufaham mazingira ya vyuo vyetu!

Inauma sana.
 

Katika ulimwengu wa leo ambao unapata soft copies za vitabu online, kuna Youtube na takataka kibao mtandaoni. Vyuo labda vya chini ya diploma lakini kuanzia degree ni wanafunzi wachache huwa hawana smartphones au Laptop, na wachache wasio na laptop usishangae wanaazima kipindi cha kutype kazi au kuangalia movies

Hizo sababu ulizotoa zimekaa kihurumahuruma sana na wakati mimi najua fika ukitoka shule za kata. Unakuwa hustler maana hujazoea spoon feeding, watu 20 wamefaulu kati ya wanafunzi 400 af waje kushindwa kujiongeza chuoni. NEVER
 
Kama mwajiri anakuibia kukulipa kiduchu why nawe ujitolee kumfurahisha.
Kazini ni vitu viwili iba pesa au mda.
Jiulize mbona international organization au company haya mambo huwa hayapo ni Kazi Kazi mwanzo mwisho yaani mwajiriwa na mwajiri wote wanafurahiana.
Cheki kwa mfano zipo international organization unapiga Kazi wiki 6 fully facilities zote zipo then unakwenda off wiki 2 umepewa fully package ya kwenda kupumzisha akili hapa kwann nisiolewe kabisa na Kazi hio.
Sasa wewe unilipe mshahara sawa na posho ya mbunge kwa mwezi hio tija itoke wapi.
 
nimecheka sana mkuu ww umeajiriwa wapi???
 
kuzingatia lunch sio kwamba hufanyi kazi kwa bidii. kutokula kwa wakati ni athari kiafya, vidonda vya tumbo na vitambi. elimika.
 
Mkuu kweli Mimi nimenda nmb geita kule ,mida kama ya saa NNE nakuta vitu viko empty ,watu wamepanga misitari wanasubili huduma ,wanasema wameenda kunywa chai daaa


Alikuwepo dada flani amebaki meza moja ,nikamfuata anisaidie ,kufika ananipa maelezo kivivu kivivu kama hataki yani ,nikimuliza ananijibu nusu nusu kama namlazimisha ..

Nilimpa bonge la tusi" mafala kama nyie sijui mnafanya nini humu ndani " akasimama anasema namtukana akataka kumuita mlinzi eti namfokea ,nikajuchukua begi langu huyo nje ,chukua pikipiki yangu shaaaa ..
 
Hivi mmewahi kutembelea migodin uone watu wanavyfanya kazi ?

Umewahi kutembelea kwenye mashamba ya mipunga ? Kariakoo ? Kwenye uvuvi n.k


Umewahi kutembelea viwanda vya wahindi na waarabu na wachina uone watanzania wanavyochapa kazi ?


Kwanini ueseme watanzania ni wavivu kwa kuchukua sample ya watu wasiozidi hata milion 1 ( waajiriwa)


Watanzania ni wachapa kazi saaaana Tena saaaana. Zunguka hayo maeneo ndio utajua hujui.

Hao wa maofisin ni wazembe kwasababu Hakuna system za kuwabana.
 
Kimsingi tukisema Watanzania wengi ni wavivu sio sahihi ni baadhi mf. Ofisi za Serikali huwa kusaini ni kuanzia saa 7.00am - 7.30am kutoka 3.30pm. Lakini Ofisi niliyopo mie unakuta mtu anaingia saa 7.40 am ofisini lakini ikifika saa3.25pm kashabeba pochi anakwambia mpk nifike getini tisa na nusu ishafika hapo utoe na ule muda kaenda lunch ni tafarani, wakati huo huo kuna baadhi ya Ofisi za Serikali ziko strict kabisa hamna mchezo mchezo at all so inategemea ofisi na ofisi.
 
Ni kero sana, yaani unakuka anatoka kwenda lunch saa saba halafu anarudi saa tisa .
 
nimekosea kutowapa notes nikawapa vitabu?,
notes walikua wanapewa soft copy,mimi sikutoa ila nilikua natoa vitabu soft copy,nimekosea wapi?,
sikuwahi kuagiza mtu yoyote aende libarary maana vitabu nilikua navyo;
kumpa mwanafunzi wa chuo PowerPoint si jambo jema,wengi wanasoma juu juu tu,ila vitabu vinasaidia kuliko PowerPoint;
niko nje huku,PowerPoint sio za muhimu,kikubwa ni vitabu;
nadhani nimekujibu vema;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…