Mleta mada hajamaanisha kua watu wasiende lunch,amemaanisha muda wa lunch watu wanakua wanaufuatilia zaidi na kua nao serious kuliko muda wao wa kufanya kazi,
Hajasema kua watu wasiende lunch,ila kama na muda wa kazi wangekua nao wanauchukulia serious kama wanavyouchukulia serious muda wa lunch isingekua tatizo,
Binafsi naona hii issue ya uvivu na kutokuwajibika ni issue ya kimalezi toka utotoni,kubadili hii tabia inabidi wazazi waanze kuwafundisha watoto wao toka utotoni,ila kumbadili mtu mzima tabia sio issue ndogo.