KERO Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sio ndoo kwamba inajaa kisimani ndo ujitwishe ......taratibu tutaelewana tu lipia kupitia online ... *
 
Ni kwelinjana wageni wangu waliambiwa tren imejaa hadi ya leo haina siti ila muda tren linaondoka lilikuwa wazi kabisa tukabaki na mshangao..
 
Halafu unasema una taasisi inaitwa tiss wako bize kufuatilia umbea au kufuatilia harakati za wapinzani, tuwaone wakipambana na huku
 
Uko sahihi..lakini ndio iwe kwa behewa zima? Yaani ukiwa unaomba zile siti hazifunguki kwa kumaanisha zimeshanunuliwa.
Kumbuka sio Watu wengi wanaoishi Mjini kati.
 
Halafu unasema una taasisi inaitwa tiss wako bize kufuatilia umbea au kufuatilia harakati za wapinzani, tuwaone wakipambana na huku
Bora ata huo upinzani ambao unafatiliwa ungekuwa wa maana basi yaani unakuta hao wapinzani hawajielewi ila tiss ndio wapo bize nao kweli..
 
Sio kweli sasa mtu akate tiketi na alipie the asisafiri? Mtoa mada hajielewi. Pia kuna watu wanapandia njiani
 
Mama anaupiga mwingi! Mitano tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…