Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Precisely .. halafu mbona wameanza mapema sana hizi CorridorKama ATCL zamani
Watu Wana bills za kulipa Mkuu. WanajiongezaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandHahahah
Ni kwelinjana wageni wangu waliambiwa tren imejaa hadi ya leo haina siti ila muda tren linaondoka lilikuwa wazi kabisa tukabaki na mshangao..Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Tafuta connection mambo yako yaendeUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Nchi hii pasipo kunyongana hatutaendeleaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Halafu unasema una taasisi inaitwa tiss wako bize kufuatilia umbea au kufuatilia harakati za wapinzani, tuwaone wakipambana na hukuUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hii hujuma kitengo cha TEHAMA TRC kinahusika , kazi ianzie hapoUko sahihi..lakini ndio iwe kwa behewa zima? Yaani ukiwa unaomba zile siti hazifunguki kwa kumaanisha zimeshanunuliwa.
Kumbuka sio Watu wengi wanaoishi Mjini kati.Uko sahihi..lakini ndio iwe kwa behewa zima? Yaani ukiwa unaomba zile siti hazifunguki kwa kumaanisha zimeshanunuliwa.
Eti?Wanafanya booking bila kulipia au?
Bora ata huo upinzani ambao unafatiliwa ungekuwa wa maana basi yaani unakuta hao wapinzani hawajielewi ila tiss ndio wapo bize nao kweli..Halafu unasema una taasisi inaitwa tiss wako bize kufuatilia umbea au kufuatilia harakati za wapinzani, tuwaone wakipambana na huku
Washaanza kujitengenezea upigaji hao.Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?