Mkuu ni kwanini Kenya haiwezi ruhusu jambo hilo ?Kenya haijawahi na haitakaa iongoze na rais mvaa makobazi. Na ndio maana wamepiga hatua kuliko sisi. Hili swala nimeona sana. Swala la haki sawa linamalizwa nchi. Tuangalie mtu mwenye uwezo. Na kumpa nchi mtu ambaye dini yake haijawahi jenga hospitali,shule wala chuo ni ujinga.
hapanaOK, so you want to tell me, kwamba ili kummudu Kagame, inabidi East Africa yote waungane! Basi kweli jamaa ni kiboko🙌
Mjiunge mara ngapi? Labda waulize Burundi, South Africa na Zimbabwe, JWT etc nina uhakika wana cha kukuambia kilichowakuta na hutawaona tena Congohizi maneno anazoongea kagame ni ujinga wa mwisho kabisa
kagame anajijengea chuki na majirani zake
siku wakijiunga kagame anabanikwa kama kuku wa kuchoma
anaongea sana,sio strong kama anavyojitapa huyu matako
Hivi kulikua hamna njia nyingine hata kama ni ndefu kiasi gani ya kurudi nyumbani kuliko kupitia Rwanda?Baada ya kupigwa huko CONGO, na kutekwa wakajisalimisha.
Njia ya kurudi Home ilikuwa ni Rwanda.
Hapo wanapekuliwa kila kitu ili waruhusiwe kurudi TZ
Kilitokea nini mkuu ?tia nyama hapo kwenye jambo la SudanUliwahi kusikia disaster iliwapata askari wa Tanzania Sudan kikosi cha kulinda amani..? miezi michache baada ya JK na PK kulumbana..tafuta ujue ilivyotokea itakupa ufahamu vile viongozi wako walivyo na watanzania dhidi ya mataifa mengine.
Wako bize kuua upinzani ambao upo kisheriaUkimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Inawezekana viongozi wetu wengi wanatumiwa na maadui wa nchi ili kuivuruga!Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Kile kikosi kilichomkimbiza Iddy Amin dada mpaka jinja kalibu kiingie Sudani,leo nani atafanya hiviMtanikumbuka 🐼
Kagame ni mchumba tu
Wakenya sio wajinga ndugu yangu. Nitajie hospitali kubwa au chuo kilichojengwa na waislamu ? Hauwezi kumpa urais mtu ambaye dini yake haijawahi kujenga hata zahanati Tanzania. Kuanzia Bugando mpaka KCMC ni wakristo. Haya vyuo SEKOMU mpaka SAUT ni wakristo. Waislamu tunawapa nchi wafanye nini ? Hata ukiangalia sera za Nyerere ilikuwa self reliance.(Kujitegemea). Sherehe za Eid watu wanapewa nyama, tende, mchele na mafuta. Ushawahi ona wapi sherehe za wakristo watu wenye nguvu wanapewa chakula ? Lakini wakristo tumejenga taasisi ambazo zimetengeneza ajira.Mkuu ni kwanini Kenya haiwezi ruhusu jambo hilo ?
At least kina mwana ccm mashuhuri kapachikiwa jasusi la Kinyarwanda ndani mwake!Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Taasisi zote zinawekeza akili na rasilimali zote kuwajibika kwa CCM badala ya Taifa.Wako bize kuua upinzani ambao upo kisheria
Tena wanavyopenda ngono? Wamewekea mademu wa kinyarwanda kila kona.At least kina mwana ccm mashuhuri kapachikiwa jasusi la Kinyarwanda ndani mwake!
Kagame kajiimarisha sana!
Huyo Nyusi kuomba misaada umejulia wapi for certain?Filipe nyusi alikuja kuomba misaada kuwapiga magaidi waliopo kaskazini kwa Msumbiji. Hawa magaidi waliua hadi raia wa Tanzania. Sisi hatukusaidia Kagame akapeleka wanajeshi wake hadi sasa kila kitu kipo sawa. Nchi kubwa kama hii imeshindwa kutoa wanajeshi kudhibiti Sehemu ndogo ya Msumbiji halafu unasema tuna jeshi ? Kumbuka hao magaidi waliua rais wa Tanzania na rais akakataa kupeleka jeshi.
Nimekuelewa vema kabisa mkuu.Wakenya sio wajinga ndugu yangu. Nitajie hospitali kubwa au chuo kilichojengwa na waislamu ? Hauwezi kumpa urais mtu ambaye dini yake haijawahi kujenga hata zahanati Tanzania. Kuanzia Bugando mpaka KCMC ni wakristo. Haya vyuo SEKOMU mpaka SAUT ni wakristo. Waislamu tunawapa nchi wafanye nini ? Hata ukiangalia sera za Nyerere ilikuwa self reliance.(Kujitegemea). Sherehe za Eid watu wanapewa nyama, tende, mchele na mafuta. Ushawahi ona wapi sherehe za wakristo watu wenye nguvu wanapewa chakula ? Lakini wakristo tumejenga taasisi ambazo zimetengeneza ajira.
Bila kusahau rushwaTena wanavyopenda ngono? Wamewekea mademu wa kinyarwanda kila kona.
Bila rushwa hawawezi kuishi.Bila kusahau rushwa
Rule namba 1,njaa(umasikini)Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Kagame anaweza congo pekee yakeMjiunge mara ngapi? Labda waulize Burundi, South Africa na Zimbabwe, JWT etc nina uhakika wana cha kukuambia kilichowakuta na hutawaona tena Congo
😂😂Kile kikosi kilichomkimbiza Iddy Amin dada mpaka jinja kalibu kiingie Sudani,leo nani atafanya hivi
Maneno ya mkosaji.Kagame anaweza congo pekee yake
wala hata Burundi haiwezi
if he touches tZ au UG au KE he is dead
we cant waste our resources to protect congo thats why kagame has time to do whatever he can there
tulichopeleka huko ni our waste retired soldiers to look not even to fight....kagame kuwapiga ndio imekua sherehe?
fools
kagame akitaka kufa aguse any Tanzanian territory any coordinates aone kama hatakufa siku hiyo hiyo