...hivi kuchunwa nako ni sifa? hapana bana, acha nitulie na mamsapu wangu tu.
Bishanga..kwanini uimport? Vitu vipo hapa Long street.kwa hiyo dear you don't mind sharing? Raha iliyoje! Weekend karibu cape town kuna hoteli nzuri sana hapa waterfront.
...hivi kuchunwa nako ni sifa? hapana bana, acha nitulie na mamsapu wangu tu.
dah, haya nitaftie huyo mnyonge.
How dare you kumtaja sakapoko rejao kwenye hadhara hii? Hivi ukitaja wanaume NA rejao yumo? Tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!husyn kweli wewe fomu foo umepata foo
hujui keybodi zimepindua Misri, libya na zingine nyingi.
Key bodi zimeninunulia gari 2 kwa Rejao sasa natafuta nyumba kwa Byshernger.
Chezeiya kii bodi weye naona!
hivi kongosho huwa unalala/lalwa saa ngapi if i may ask? Khaa! Yani kila nikilog in nakukuta jukwaa la funzadume... Nalog off.

Unamtaka? Sasa Aspirin unataka tuuane,yaani ka investment kote ambako nimewekeza kwa konnie we uje umchukue tu?
he he he, silalwi ng'o
nalala tu, mie kigori
:juggle::A S-coffee:😛hoto:Halafu nahisi Aspirin anakutaka!
unanifananisha na mtoto wa headboy eeh! Mi nipo dv yangu safi kabisa. Sasa inabidi tugawane huyu bishanga. Lol.
U don't know what u ar missing. Mie tu napenda kuchunwa hehehe!
Nilishapataga request 'baby, plz, naomba unichune. Naomba uninyang'anye hii', nilicheka sana na sikujivunga,lol