Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

We Bishanga naona hututakii mema wewe.
Lakini umefanya vizuri kuwafundisha maana angalau tutakuwa tunachunwa kistaarabu. Hiyo itasaidia kuwapunguzia upigwaji chini fasta.
 
kwa hiyo dear you don't mind sharing? Raha iliyoje! Weekend karibu cape town kuna hoteli nzuri sana hapa waterfront.
Bishanga..kwanini uimport? Vitu vipo hapa Long street.
 
U don't know what u ar missing. Mie tu napenda kuchunwa hehehe!
Nilishapataga request 'baby, plz, naomba unichune. Naomba uninyang'anye hii', nilicheka sana na sikujivunga,lol

...hivi kuchunwa nako ni sifa? hapana bana, acha nitulie na mamsapu wangu tu.
 
husyn kweli wewe fomu foo umepata foo

hujui keybodi zimepindua Misri, libya na zingine nyingi.

Key bodi zimeninunulia gari 2 kwa Rejao sasa natafuta nyumba kwa Byshernger.

Chezeiya kii bodi weye naona!
How dare you kumtaja sakapoko rejao kwenye hadhara hii? Hivi ukitaja wanaume NA rejao yumo? Tenaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
...hivi kuchunwa nako ni sifa? hapana bana, acha nitulie na mamsapu wangu tu.

Mkuu labda hujakutana nao,muulize Mtambuzi imekaaje kuhusu sekeletale wake.
 
hivi kongosho huwa unalala/lalwa saa ngapi if i may ask? Khaa! Yani kila nikilog in nakukuta jukwaa la funzadume... Nalog off.

Unamtaka? Sasa Aspirin unataka tuuane,yaani ka investment kote ambako nimewekeza kwa konnie we uje umchukue tu?
 
U don't know what u ar missing. Mie tu napenda kuchunwa hehehe!
Nilishapataga request 'baby, plz, naomba unichune. Naomba uninyang'anye hii', nilicheka sana na sikujivunga,lol

Bamuelezage mbu.
 
kuna wengine wanalilia kuchunwa kabisa
machozi meeengi
kama avatar ya mkata kiu

U don't know what u ar missing. Mie tu napenda kuchunwa hehehe!
Nilishapataga request 'baby, plz, naomba unichune. Naomba uninyang'anye hii', nilicheka sana na sikujivunga,lol
 
Back
Top Bottom